abdallah bitebo na jeshi lake wakati wa hafla fupi ya kuzindua yunifomu mpya leo kwenye saluni yao iliyopo jirani lango la jiji, magomeni, dar
nanihii na aboubakary liongo wa deutche welle ni miongoni mwa wateja wa kwanza baada ya uzinduzi huo
bitebo akimuonesha liongo moja ya vifaa vipya hapo saluni
nanihii akiwa na kikosi cha bitebo hair designer
aboubakary liongo na kikosi kizima cha bitebo hair designer. kulia ni bitebo senior





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. hahahhah hasa hizo ni uniform mpya au ni t shirt tu jamani. Beofre walikua wanavaaje


    umenikumbusha mbali abubakari liongo alikua ana sauti nzuri huyu bilikua sijamuona miye...thanx to our community blog

    ReplyDelete
  2. Bwana Liongo kawiva kwa sana , naona box limekubali vizuri.

    ReplyDelete
  3. Hao wakina dada ukiingia huko chumbani kwa ajili ya ,,,,, nini vile..../? nimesahau, wanafurahisha sana!

    ReplyDelete
  4. Balozi, hiyo Bitebo hair designer gani ikiwa wateja wake wote kuanzia wewe Mh.Balozi, Abou Liongo na kina Koffi Olomide wote mnapunyuliwa nywele zote kichwani, hiyo designer iitwe 'kipara songa ugali tule' design.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana kwa mavazi mpya.

    Kweli Ulaya ni Ulaya tu ,yaani Abou Jumaa Liongo kawiva ile mbaya,ishaala basi atukumbuke nasi katika ufalme wake huko German.

    ReplyDelete
  6. Nammiss sana Abuubakar Liongo, maana ndiye aliyemuibua Maulid wa Kitenge, naye Kitenge akaiga mbwembwe na vijineno vya kuchagiza vya mwanahabari huyu hasa kwenye kipindi cha sport leo Radio one. Big up sana Liongo.

    Q

    ReplyDelete
  7. we anonymous unaesema abubakar anabeba box mwenzio kaenda na fani yake hatumii makaratasi yamtu we kalagabahoo mwenzio ananawiri we utaishia kuponda tu

    ReplyDelete
  8. Katika kuzuia maambukiza ya ukimwi tinaambiwa tusichangie vifaa vya kunyoa, sasa apo kwa Bitebo au kwengineko bongo inakuaje? Mie nshaacha kunyoa kwa kinyozi kwa mana najipiga kipara mwenyewe kisha kama nimekosea mke wangu ana inspekiti bichwa langu.

    ReplyDelete
  9. Lol, balozi wa naniii aka mkuu wa wilaya ya naniii una hisa hapo nini?!?!? Mbona hii sallon imekuwa regular kwenye blog?? Just joking.

    ReplyDelete
  10. Hakika,Bitebo Saloon ni mfano wa kuigwa hapa mjini Bongo.
    Hata mie nilikuwa nampenda sana Mtangazaji Aboubakar Jumaa Liongo,alikuwa mzuri sana katika kutangaza spoti toka RTD-Radio One-mpaka Uhuru,ambako nadhani aliondoka kwa fitna tu.Lakini he still a top Mtangazaji katika karne hii.Big up sana Liongo.Maisha ni mzunguko na wenye visa ni watu.please take note.

    ReplyDelete
  11. bwa shem mambo ?

    'shemeji yako mmoja kajaliwa kupata mtoto wa kike nitafute au mtafute its good news jaman'.

    mwambie ABOU PACHAWANGU SIX DEC HIYOooooooo, inakaribia kama atakuwepo bongo anitafute ( unaweza usipost lakini ujumbe huo muhimu)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...