abdallah bitebo na jeshi lake wakati wa hafla fupi ya kuzindua yunifomu mpya leo kwenye saluni yao iliyopo jirani lango la jiji, magomeni, dar
nanihii na aboubakary liongo wa deutche welle ni miongoni mwa wateja wa kwanza baada ya uzinduzi huo
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
abdallah bitebo na jeshi lake wakati wa hafla fupi ya kuzindua yunifomu mpya leo kwenye saluni yao iliyopo jirani lango la jiji, magomeni, dar
nanihii na aboubakary liongo wa deutche welle ni miongoni mwa wateja wa kwanza baada ya uzinduzi huoTanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahhah hasa hizo ni uniform mpya au ni t shirt tu jamani. Beofre walikua wanavaaje
ReplyDeleteumenikumbusha mbali abubakari liongo alikua ana sauti nzuri huyu bilikua sijamuona miye...thanx to our community blog
Bwana Liongo kawiva kwa sana , naona box limekubali vizuri.
ReplyDeleteHao wakina dada ukiingia huko chumbani kwa ajili ya ,,,,, nini vile..../? nimesahau, wanafurahisha sana!
ReplyDeleteBalozi, hiyo Bitebo hair designer gani ikiwa wateja wake wote kuanzia wewe Mh.Balozi, Abou Liongo na kina Koffi Olomide wote mnapunyuliwa nywele zote kichwani, hiyo designer iitwe 'kipara songa ugali tule' design.
ReplyDeleteHongera sana kwa mavazi mpya.
ReplyDeleteKweli Ulaya ni Ulaya tu ,yaani Abou Jumaa Liongo kawiva ile mbaya,ishaala basi atukumbuke nasi katika ufalme wake huko German.
Nammiss sana Abuubakar Liongo, maana ndiye aliyemuibua Maulid wa Kitenge, naye Kitenge akaiga mbwembwe na vijineno vya kuchagiza vya mwanahabari huyu hasa kwenye kipindi cha sport leo Radio one. Big up sana Liongo.
ReplyDeleteQ
we anonymous unaesema abubakar anabeba box mwenzio kaenda na fani yake hatumii makaratasi yamtu we kalagabahoo mwenzio ananawiri we utaishia kuponda tu
ReplyDeleteKatika kuzuia maambukiza ya ukimwi tinaambiwa tusichangie vifaa vya kunyoa, sasa apo kwa Bitebo au kwengineko bongo inakuaje? Mie nshaacha kunyoa kwa kinyozi kwa mana najipiga kipara mwenyewe kisha kama nimekosea mke wangu ana inspekiti bichwa langu.
ReplyDeleteLol, balozi wa naniii aka mkuu wa wilaya ya naniii una hisa hapo nini?!?!? Mbona hii sallon imekuwa regular kwenye blog?? Just joking.
ReplyDeleteHakika,Bitebo Saloon ni mfano wa kuigwa hapa mjini Bongo.
ReplyDeleteHata mie nilikuwa nampenda sana Mtangazaji Aboubakar Jumaa Liongo,alikuwa mzuri sana katika kutangaza spoti toka RTD-Radio One-mpaka Uhuru,ambako nadhani aliondoka kwa fitna tu.Lakini he still a top Mtangazaji katika karne hii.Big up sana Liongo.Maisha ni mzunguko na wenye visa ni watu.please take note.
bwa shem mambo ?
ReplyDelete'shemeji yako mmoja kajaliwa kupata mtoto wa kike nitafute au mtafute its good news jaman'.
mwambie ABOU PACHAWANGU SIX DEC HIYOooooooo, inakaribia kama atakuwepo bongo anitafute ( unaweza usipost lakini ujumbe huo muhimu)