barak obama aulaaaaaaaa! mdau kamshinda kwa kishindo john mccain na kuwa rais mtele wa 44 wa marekani!
wenye wivu na wajinyonge sana tu.....
globu hii ya jamii ambayo ilimuindozi obama na mgombea mwenza wake biden inaungana na wadau duniani koooooote kumpa pongezi za nguvu mmatumbi mwenzetu kwa kuchukua nchi!
Na kama upo mbali na TV yako unaweza uka angalia LIVE kupitia hapa au hapa.
------------------------------
HA HA HABARI NDIYO HIYO....
04.14 Florida remains too close to call but with Mr Obama's tally now at 293 to Mr McCain's 142, the state's 27 electoral votes that were so crucial in 2000 and 2004 are an afterthought in an extraordinary night that has seen the Democrat cut off his Republican rival at every turn.

04.00 Barack Obama has been elected the first African-American President of the United States, according to a CNN projection.

Euphoric celebrations broke out at the Democrat's rally in Chicago as projected Democratic victories in California, Oregon and Washington pushed him beyond the 270 electoral votes needed to take the White House.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. Samahani mkuu ni rais wa 44 na sio wa 34. Asante

    ReplyDelete
  2. he is becoming 44th president not 34

    ReplyDelete
  3. 44th President...tulia michuzi

    ReplyDelete
  4. sio rais wa 34 ni wa 44
    YES WE CAN!!!!
    am happy like never been happy before

    ReplyDelete
  5. "rahisi" wa 44

    ReplyDelete
  6. wenye wivu wajiuwe na wachimbe shimo wajifukie na asiempenda anywe sumu ajiuwe anaemchukia achimbe shimo ajifukie. ameshinda kwa wingi wa vote tumpe ongela sana na mungu ampe baraka Amini

    ReplyDelete
  7. AGAINST ALL THEORIES TO THE CONTRARY
    THANKS TO ALL REASONABLE AMERICANS WHO VOTED FOR HIM
    VIVA AMERICA, VIVA THE WHOLE WORLD!

    ReplyDelete
  8. Wako wapi wale NAY SAYERS wale waliosema kwenye hii blog in January 08 baada ya Obama kushinda Iowa Caucus kwamba he stands no chance na kwamba Wamarekani will never elect a black President? Nadhani walisahau kitu kimoja...never under estimate anybody. This guy has defined politics. Ame endesha one of the most efficient campaign in the history of United States of America.
    I am blessed to have been able to witness HISTORIA.

    ReplyDelete
  9. Wenye wivu ikibidi wanywe na polonium-210 kabisaaaa. LOL....

    ReplyDelete
  10. hongera sana, such a great role model to the world! Hongera kwa first Lady mpya Michelle Obama. Well done!
    Pole nyingi kwa McBush, au pacha wa George, get some rest now.....

    ReplyDelete
  11. What a historic moment! It has been a long and painful journey for African Americans.

    ReplyDelete
  12. HAYA WATANZANIA NA SISI TUWE KATIKA MSTARI WA MBELE KUMCHAGUA MTU KWA SIFA NA SIYO DINI AU KABILA MAADAMU MTANZANIA NA ANAUWEZO WA KULETA MAANDELEO BASI TUMCHAGUE.
    MAANA WATANZANIA MARA NYINGI SANA TUMEKUWA KATIKA MSTARI WA MBELE KWA UBAGUZI.
    CHUKULIA SALIM AHMED SALUM ALIPOPIGANIA NAFASI YA KUWANIA URAISI KWA NJIA YA CCM ZIKAJA HOJA ZA KIJINGA ETI MWARABU WAKATI MIAKA YOTE HATUKUMUONA KUWA MWARABU. YOTE HAYA MANENO YALITOKANA NA BAADHI YA WANA CCM WENYE UROHO WA MADARAKA KUTUMIA PESA KUNUNUA MAGAZETI NA KUHONGA WANA CCM KWA PESA NA VITENGE ILI KUMCHAGUA MWANACHAMA FULANI NA KUTOA KASHFA MBAYA ZIDI YA SALIM AHMED.

    SASA MTANZANIA ANAALAMA GANI WEWE ULIYESEMA NI MWARABU JE MTANANIA ANAALAMA GANI KAMA WEUSI HATA MNUBI SUDAIN NI MWEUSI .

    WATANZANIA TUFUATE USIA WA BABA WA TAIFA KWA VITENDO IKIWA TUNATAKA TANZANIA TUWE KAMA AMERIKA.


    SASA NAWAULIZA WATANZANIA WENZENGU NANI WABAGUDHI WAZUNGU AU SISI HASA WATANZANIA?

    LEO AMERIKA NI TAIFA LENYE KILA SIFA INGALIWEZA KUFANYA UBAGUZI BILA TAABU LAKINI WATU WAMEAMKA NA KUONA UKABILA AU URANGI HAUNA MAANA KIKUBWA MTU KUWEZA KULETA MANUFAA YA TAIFA.

    TUSIMCHAGUE MTU KWA AJILI YA PESA ZAKE, RANGI, DINI, RAFIKI, NDUGU AU KABIL BALI UWEZO WA HAKI.

    NAIMANI TANZANIA IKIPATA RAISI KAMA WARIOBA AU SALUM AHMED BASI NCHI ITAENDELEA KWA HALI NA MALI.
    MAANA HAWA NI WATU PEKEE WANAOMUENZE BABA WA TAIFA KWA VITENDO.

    WENGINE WANAMTUMIA BABA WA TAIFA KWA MASLAHI YAO, WATOTO WAO NA MARAFIKI WAO.

    MUNGU IBARIKI HAKI AMEN

    ReplyDelete
  13. ANON wa November 05, 2008 7:56 AM
    Nakuunga mkono kwa kuendeleza libeneke, kuwa

    TUNAHITAJI RAIS ATAKAYEWATUMIKIA WATANZANIA, SIO RAIS ATAKAYEWATUMIKI RAFIKI ZAKE

    Tuamke 2010 tupige kura kwa wingi, Demokrasia ifanye kazi.

    ReplyDelete
  14. He won..made the most biggest history ever in the whole world. And guess what...nimeshuhudia, i was a part of it...yaaaayyyyy. Cant wait in 2020 when I will be telling this to my kids.

    ReplyDelete
  15. NAONA MATOKEO HAYA YATAWASTUA WENGI HASA WANACCM WALIOKUWA NA MAWAZO YALE YA MWAKA 47, KUWA CHAMA KUBWA!!
    SASA KWA HABARI HALI HII TULIYOISHUHUDIA TARIME NA LEO MAREKANI KWAMBA WATU HAWAFAGILII UJINGA, WANATAKA MAISHA BORA KWA VITENDO NA SIO BLA BLA..
    OMBI LANGU KWANZA NI KWAMBA WATANZANIA SASA WAPITISHE HII SHERIA YA MGOMBEA BINAFSI ILI KUTOA NAFASI KWA WALIO WENGI WENYE SIFA NA UWEZO MKUBWA WASIOWAFUASI WA CHAMA CHOCHOTE WAPATE NAFASI YA KUJITOKEZA.
    PILI, TUBADILIKE KIFIKRA TUONDOKANE NA MAMBO YA UDADHILIFU, TUJIAMINI KWA KILE TUNACHOKIFANYA, TUKIFANYE KWA KUZINGATIA UTAWALA WA SHERIA, UTAWARA BORA.
    NA HAWA WENZETU WA VYAMA VYA UPINZANI, MATOKEO HAYA NI CHANGAMOTO KWAO, KUWA USHINDI WAO UTATEGEMEA UWEZO WA MGOMBEA KUKUBALIKA KWA WANANCHI NA SIO VIONGOZI WA JUU KUNG'ANG'ANIA WAKATI HAWAKUBALIKI, MAANA HATA SURA ZAO ZIMESHAWACHOSHA WANANCHI. KWA UFUPI WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO YA KWELI.
    KASI HII YA MADILIKO KILA KONA YA DUNIA, NA IMANI YATALETA MABADILIKO HAPO MWAKA 2010.
    WOSIA KWA CCM, UTARATIBU WENU WA KIONGOZI LAZIMA AONGOZE VIPINDI VIWILI HATA KAMA ANABORONGA UTAWAPONZA HAPO 2010, NADHANI HILI NALO MLITAZAME ILI NANYI MWONEKANE MNAKERWA NA HAYA YANAYOWAKERA WANANCHI.
    NITAENDELEA...

    ReplyDelete
  16. Obama ni MMarekani tu,mwingine, Kama Bush kama Clinton na wengine waliowahi kuwa maraisi wa hyo nchi.

    Pongezi za msingi kwake kama mshindi toka kwangu, zimfikie.

    Tatizoletu sisi ndo warangi.. jamaa sio muafrica, nasikia Kenya kesho sikukuu. Hivi walishindwa kuganya baada ya kukubalina kibaki na laila?
    Kwao who is obama?

    Huu ni utumwa zaidi ya UKIMWI.

    ReplyDelete
  17. Suali kwenu nyotem ni kwa nini media zote zinamtaja obama kama the first black president au afro america president ilhali obama ni mixed

    ReplyDelete
  18. Sasa nyie mnaomkosoa Michuzi eti rais wa 44 na si 34, mbona sioni alipoandika kuwa ni wa 34?! Nyie hiyo 34 mmeitoa wapi? Au mna matege ya macho? Watu wengine bwana!

    ReplyDelete
  19. Kwako anon wewe unayesema tunamkosoa michuzi.....
    Ulipokuwa umelala huko bongo, sisi tulikuwa macho huku tukiangalia media zote ikiwemo hii, michuzi alitetereka na ame-edit, thats why you are seeing the right thing. Ulitakiwa u-figure it out

    ReplyDelete
  20. Zito chukua fomu mwaka 2010, tunakutegemea kwani wewe bado kijana na pili huna tamaa mpka muda huu na tatu umeenda shule ya kukuwezesha kulitoa taifa hili kwenye ufisadi

    ReplyDelete
  21. Zito chukua fomu mwaka 2010, tunakutegemea kwani wewe bado kijana na pili huna tamaa mpka muda huu na tatu umeenda shule ya kukuwezesha kulitoa taifa hili kwenye ufisadi

    ReplyDelete
  22. WATU KWA KUJIFANYA KUKOSOA! EMBU MKOSOENI RAISI WENU KWANZA,AU HAMUONI MAZAGAZAGA SERIKALINI! UMBEA TU

    ReplyDelete
  23. ...na we mshamba wa 12:31, si ame-Edit?

    ReplyDelete
  24. Wewe anonymous hapo juu wa November 05, 2008 12:01 PM, kaa ukijua kwa nchi za Ulaya na America, mtu aliye mix (mzazi mweusi na mzungu) kama Obama anawekwa kwenye kundi la black people. Hata uzae na mzungu blonde wa vipi mtoto wako ataitwa black. Na ndio maana media zote kubwa zinasema Obama ni raisi mweusi wa kwanza nchini Marekani.

    ReplyDelete
  25. anon 9:20

    TUKUSAIDIAJE? EVERYBODY WAS PART OF IT,AU MWENZETU ULIKUA UMEMSHIKA MKONO OBAMA WAKATI MATOKEO YANATANGAZWA?

    ReplyDelete
  26. I VOTED FOR OBAMA BECAUSE HE IS BLACK,AND I KNOW THAT MYT SOUND RACIST, BUT THATS THE WAY IT IS. IN TERMS OF 'SERA' I THINK MCCAIN OFFERED A LOT MORE THAN OBAMA - IN TERMS OF HELPING POOR COUNTRIES ETC. OBAMA IS JUST A BLACK PERSON WHO THINKS LIKE A WHITE MAN,AND THATS HOW HE'LL CONDUCT HIS WORK. DONT EXPECT CHANGES,EXCEPT FOR THE FACT THAT HES BLACK - THATS THE ONLY THING THAT WILL KEEP PEOPLE MOVING. KWANZA WENGI WENU HUMU MASHABIKI,NIKIWAULIZA,HAMUWEZI HATA NITAJIA SERA MOJA YA OBAMA. WHEN HE WAS A SENATOR, HE VOTED FOR IRAQ WAR!DONT BELIEVE ME?GOOGLE THAT!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  27. we anon November 05, 2008 2:32 PM
    si ungesubiri bangi ziishe kichwani ndo uje kutoa comment?
    au kama uko na akili yako sawa nakushauri urudi shule, kama upendi shule tafuta marafiki wanaojua mambo wawe angalau wanakupakupa fact

    ReplyDelete
  28. MICHELLE OBAMA - The first lady I love and admire so much. Good luck my model!!!

    ReplyDelete
  29. Ever since I stepped my feet in this soil I never envisioned seeing an African-American president,with an East African blood in his genes emerging to lead this great nation. This is more than an historical event and I'm very proud to be a part of. May God bless Obama to lead this great nation with the same charisma,calm,superior decision-making and enthusiasm that he has shown all of us.

    ReplyDelete
  30. basi wakenya wanavyopenda masheuzi wataanza sasa:mimi mjomba wake Obama na babu yangu wametoka tumbo moja kabisa, na hata Obama alipokuja Kenya 2006 alienda hadi kuona kaburi la babu yetu, and bla bla bla..mmh UPELE UMEFIKA KWA MKUNAJI.

    ReplyDelete
  31. We unaedhani watu wanakosea kwa kumuita OBAMA Black, we unataka kumuita nani Obama baba yake MJALUO.The guy ukimuona sio mzungu ni Black .Ukichanganya Damu na Black wee Black.Basi aitwe rais wa kwanza mwenye Damu Mchanganyiko, TEHETEHE, AU tumuite Mmmanga Koko,au rais Shombe.Any way anaitwa the first AFRICAN AMERICAN PRESIDENT, Nusu Africa,Nusu America,labda itakuridhisha.Michuzi labda ana jibu kamili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...