
wenye wivu na wajinyonge sana tu.....
globu hii ya jamii ambayo ilimuindozi obama na mgombea mwenza wake biden inaungana na wadau duniani koooooote kumpa pongezi za nguvu mmatumbi mwenzetu kwa kuchukua nchi!
Na kama upo mbali na TV yako unaweza uka angalia LIVE kupitia hapa au hapa.
------------------------------
HA HA HABARI NDIYO HIYO....
04.14 Florida remains too close to call but with Mr Obama's tally now at 293 to Mr McCain's 142, the state's 27 electoral votes that were so crucial in 2000 and 2004 are an afterthought in an extraordinary night that has seen the Democrat cut off his Republican rival at every turn.
04.00 Barack Obama has been elected the first African-American President of the United States, according to a CNN projection.
Euphoric celebrations broke out at the Democrat's rally in Chicago as projected Democratic victories in California, Oregon and Washington pushed him beyond the 270 electoral votes needed to take the White House.
Samahani mkuu ni rais wa 44 na sio wa 34. Asante
ReplyDeletehe is becoming 44th president not 34
ReplyDelete44th President...tulia michuzi
ReplyDeletesio rais wa 34 ni wa 44
ReplyDeleteYES WE CAN!!!!
am happy like never been happy before
"rahisi" wa 44
ReplyDeletewenye wivu wajiuwe na wachimbe shimo wajifukie na asiempenda anywe sumu ajiuwe anaemchukia achimbe shimo ajifukie. ameshinda kwa wingi wa vote tumpe ongela sana na mungu ampe baraka Amini
ReplyDeleteAGAINST ALL THEORIES TO THE CONTRARY
ReplyDeleteTHANKS TO ALL REASONABLE AMERICANS WHO VOTED FOR HIM
VIVA AMERICA, VIVA THE WHOLE WORLD!
Wako wapi wale NAY SAYERS wale waliosema kwenye hii blog in January 08 baada ya Obama kushinda Iowa Caucus kwamba he stands no chance na kwamba Wamarekani will never elect a black President? Nadhani walisahau kitu kimoja...never under estimate anybody. This guy has defined politics. Ame endesha one of the most efficient campaign in the history of United States of America.
ReplyDeleteI am blessed to have been able to witness HISTORIA.
Wenye wivu ikibidi wanywe na polonium-210 kabisaaaa. LOL....
ReplyDeletehongera sana, such a great role model to the world! Hongera kwa first Lady mpya Michelle Obama. Well done!
ReplyDeletePole nyingi kwa McBush, au pacha wa George, get some rest now.....
What a historic moment! It has been a long and painful journey for African Americans.
ReplyDeleteHAYA WATANZANIA NA SISI TUWE KATIKA MSTARI WA MBELE KUMCHAGUA MTU KWA SIFA NA SIYO DINI AU KABILA MAADAMU MTANZANIA NA ANAUWEZO WA KULETA MAANDELEO BASI TUMCHAGUE.
ReplyDeleteMAANA WATANZANIA MARA NYINGI SANA TUMEKUWA KATIKA MSTARI WA MBELE KWA UBAGUZI.
CHUKULIA SALIM AHMED SALUM ALIPOPIGANIA NAFASI YA KUWANIA URAISI KWA NJIA YA CCM ZIKAJA HOJA ZA KIJINGA ETI MWARABU WAKATI MIAKA YOTE HATUKUMUONA KUWA MWARABU. YOTE HAYA MANENO YALITOKANA NA BAADHI YA WANA CCM WENYE UROHO WA MADARAKA KUTUMIA PESA KUNUNUA MAGAZETI NA KUHONGA WANA CCM KWA PESA NA VITENGE ILI KUMCHAGUA MWANACHAMA FULANI NA KUTOA KASHFA MBAYA ZIDI YA SALIM AHMED.
SASA MTANZANIA ANAALAMA GANI WEWE ULIYESEMA NI MWARABU JE MTANANIA ANAALAMA GANI KAMA WEUSI HATA MNUBI SUDAIN NI MWEUSI .
WATANZANIA TUFUATE USIA WA BABA WA TAIFA KWA VITENDO IKIWA TUNATAKA TANZANIA TUWE KAMA AMERIKA.
SASA NAWAULIZA WATANZANIA WENZENGU NANI WABAGUDHI WAZUNGU AU SISI HASA WATANZANIA?
LEO AMERIKA NI TAIFA LENYE KILA SIFA INGALIWEZA KUFANYA UBAGUZI BILA TAABU LAKINI WATU WAMEAMKA NA KUONA UKABILA AU URANGI HAUNA MAANA KIKUBWA MTU KUWEZA KULETA MANUFAA YA TAIFA.
TUSIMCHAGUE MTU KWA AJILI YA PESA ZAKE, RANGI, DINI, RAFIKI, NDUGU AU KABIL BALI UWEZO WA HAKI.
NAIMANI TANZANIA IKIPATA RAISI KAMA WARIOBA AU SALUM AHMED BASI NCHI ITAENDELEA KWA HALI NA MALI.
MAANA HAWA NI WATU PEKEE WANAOMUENZE BABA WA TAIFA KWA VITENDO.
WENGINE WANAMTUMIA BABA WA TAIFA KWA MASLAHI YAO, WATOTO WAO NA MARAFIKI WAO.
MUNGU IBARIKI HAKI AMEN
ANON wa November 05, 2008 7:56 AM
ReplyDeleteNakuunga mkono kwa kuendeleza libeneke, kuwa
TUNAHITAJI RAIS ATAKAYEWATUMIKIA WATANZANIA, SIO RAIS ATAKAYEWATUMIKI RAFIKI ZAKE
Tuamke 2010 tupige kura kwa wingi, Demokrasia ifanye kazi.
He won..made the most biggest history ever in the whole world. And guess what...nimeshuhudia, i was a part of it...yaaaayyyyy. Cant wait in 2020 when I will be telling this to my kids.
ReplyDeleteNAONA MATOKEO HAYA YATAWASTUA WENGI HASA WANACCM WALIOKUWA NA MAWAZO YALE YA MWAKA 47, KUWA CHAMA KUBWA!!
ReplyDeleteSASA KWA HABARI HALI HII TULIYOISHUHUDIA TARIME NA LEO MAREKANI KWAMBA WATU HAWAFAGILII UJINGA, WANATAKA MAISHA BORA KWA VITENDO NA SIO BLA BLA..
OMBI LANGU KWANZA NI KWAMBA WATANZANIA SASA WAPITISHE HII SHERIA YA MGOMBEA BINAFSI ILI KUTOA NAFASI KWA WALIO WENGI WENYE SIFA NA UWEZO MKUBWA WASIOWAFUASI WA CHAMA CHOCHOTE WAPATE NAFASI YA KUJITOKEZA.
PILI, TUBADILIKE KIFIKRA TUONDOKANE NA MAMBO YA UDADHILIFU, TUJIAMINI KWA KILE TUNACHOKIFANYA, TUKIFANYE KWA KUZINGATIA UTAWALA WA SHERIA, UTAWARA BORA.
NA HAWA WENZETU WA VYAMA VYA UPINZANI, MATOKEO HAYA NI CHANGAMOTO KWAO, KUWA USHINDI WAO UTATEGEMEA UWEZO WA MGOMBEA KUKUBALIKA KWA WANANCHI NA SIO VIONGOZI WA JUU KUNG'ANG'ANIA WAKATI HAWAKUBALIKI, MAANA HATA SURA ZAO ZIMESHAWACHOSHA WANANCHI. KWA UFUPI WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO YA KWELI.
KASI HII YA MADILIKO KILA KONA YA DUNIA, NA IMANI YATALETA MABADILIKO HAPO MWAKA 2010.
WOSIA KWA CCM, UTARATIBU WENU WA KIONGOZI LAZIMA AONGOZE VIPINDI VIWILI HATA KAMA ANABORONGA UTAWAPONZA HAPO 2010, NADHANI HILI NALO MLITAZAME ILI NANYI MWONEKANE MNAKERWA NA HAYA YANAYOWAKERA WANANCHI.
NITAENDELEA...
Obama ni MMarekani tu,mwingine, Kama Bush kama Clinton na wengine waliowahi kuwa maraisi wa hyo nchi.
ReplyDeletePongezi za msingi kwake kama mshindi toka kwangu, zimfikie.
Tatizoletu sisi ndo warangi.. jamaa sio muafrica, nasikia Kenya kesho sikukuu. Hivi walishindwa kuganya baada ya kukubalina kibaki na laila?
Kwao who is obama?
Huu ni utumwa zaidi ya UKIMWI.
Suali kwenu nyotem ni kwa nini media zote zinamtaja obama kama the first black president au afro america president ilhali obama ni mixed
ReplyDeleteSasa nyie mnaomkosoa Michuzi eti rais wa 44 na si 34, mbona sioni alipoandika kuwa ni wa 34?! Nyie hiyo 34 mmeitoa wapi? Au mna matege ya macho? Watu wengine bwana!
ReplyDeleteKwako anon wewe unayesema tunamkosoa michuzi.....
ReplyDeleteUlipokuwa umelala huko bongo, sisi tulikuwa macho huku tukiangalia media zote ikiwemo hii, michuzi alitetereka na ame-edit, thats why you are seeing the right thing. Ulitakiwa u-figure it out
Zito chukua fomu mwaka 2010, tunakutegemea kwani wewe bado kijana na pili huna tamaa mpka muda huu na tatu umeenda shule ya kukuwezesha kulitoa taifa hili kwenye ufisadi
ReplyDeleteZito chukua fomu mwaka 2010, tunakutegemea kwani wewe bado kijana na pili huna tamaa mpka muda huu na tatu umeenda shule ya kukuwezesha kulitoa taifa hili kwenye ufisadi
ReplyDeleteWATU KWA KUJIFANYA KUKOSOA! EMBU MKOSOENI RAISI WENU KWANZA,AU HAMUONI MAZAGAZAGA SERIKALINI! UMBEA TU
ReplyDelete...na we mshamba wa 12:31, si ame-Edit?
ReplyDeleteWewe anonymous hapo juu wa November 05, 2008 12:01 PM, kaa ukijua kwa nchi za Ulaya na America, mtu aliye mix (mzazi mweusi na mzungu) kama Obama anawekwa kwenye kundi la black people. Hata uzae na mzungu blonde wa vipi mtoto wako ataitwa black. Na ndio maana media zote kubwa zinasema Obama ni raisi mweusi wa kwanza nchini Marekani.
ReplyDeleteanon 9:20
ReplyDeleteTUKUSAIDIAJE? EVERYBODY WAS PART OF IT,AU MWENZETU ULIKUA UMEMSHIKA MKONO OBAMA WAKATI MATOKEO YANATANGAZWA?
I VOTED FOR OBAMA BECAUSE HE IS BLACK,AND I KNOW THAT MYT SOUND RACIST, BUT THATS THE WAY IT IS. IN TERMS OF 'SERA' I THINK MCCAIN OFFERED A LOT MORE THAN OBAMA - IN TERMS OF HELPING POOR COUNTRIES ETC. OBAMA IS JUST A BLACK PERSON WHO THINKS LIKE A WHITE MAN,AND THATS HOW HE'LL CONDUCT HIS WORK. DONT EXPECT CHANGES,EXCEPT FOR THE FACT THAT HES BLACK - THATS THE ONLY THING THAT WILL KEEP PEOPLE MOVING. KWANZA WENGI WENU HUMU MASHABIKI,NIKIWAULIZA,HAMUWEZI HATA NITAJIA SERA MOJA YA OBAMA. WHEN HE WAS A SENATOR, HE VOTED FOR IRAQ WAR!DONT BELIEVE ME?GOOGLE THAT!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletewe anon November 05, 2008 2:32 PM
ReplyDeletesi ungesubiri bangi ziishe kichwani ndo uje kutoa comment?
au kama uko na akili yako sawa nakushauri urudi shule, kama upendi shule tafuta marafiki wanaojua mambo wawe angalau wanakupakupa fact
MICHELLE OBAMA - The first lady I love and admire so much. Good luck my model!!!
ReplyDeleteEver since I stepped my feet in this soil I never envisioned seeing an African-American president,with an East African blood in his genes emerging to lead this great nation. This is more than an historical event and I'm very proud to be a part of. May God bless Obama to lead this great nation with the same charisma,calm,superior decision-making and enthusiasm that he has shown all of us.
ReplyDeletebasi wakenya wanavyopenda masheuzi wataanza sasa:mimi mjomba wake Obama na babu yangu wametoka tumbo moja kabisa, na hata Obama alipokuja Kenya 2006 alienda hadi kuona kaburi la babu yetu, and bla bla bla..mmh UPELE UMEFIKA KWA MKUNAJI.
ReplyDeleteWe unaedhani watu wanakosea kwa kumuita OBAMA Black, we unataka kumuita nani Obama baba yake MJALUO.The guy ukimuona sio mzungu ni Black .Ukichanganya Damu na Black wee Black.Basi aitwe rais wa kwanza mwenye Damu Mchanganyiko, TEHETEHE, AU tumuite Mmmanga Koko,au rais Shombe.Any way anaitwa the first AFRICAN AMERICAN PRESIDENT, Nusu Africa,Nusu America,labda itakuridhisha.Michuzi labda ana jibu kamili.
ReplyDelete