Mdao John Mnamba katembelea mpakani tz na msumbiji linakojengwa daraja la umoja litalounganisha nchi mbili hizo. Chini ni daraja la muda kwa ajili ya shughuli ujenzi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kweli sis masikini wa financial capital as well as human resources, ebu angalia hayo maji yalivyo mengi lakin i NEWALA wanataabu ya maji, na ukienda NEWALA kule mitaa ya BOMANI ukiangali bondeni unaon Mto Ruvuma ulee kwa mbali, sidhani zinafika mile 100 hadi Mtu Ruvuma, lakini Newala maji ni taabu kichizi, mimi nimeishi hapo Newala kijijini kwetu Chitandi maji ni lulu, watu kuoga na kunywa ni luxury.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...