mnenguaji mkongwe asiyechuja lilian internet bado yuko juu, na haoneshi kwamba atashuka hivi karibuni. yeye ni mmoja wa wanenguaji waandamizi nchini, akitamba tangia enzi za diamond sound 'ikibinda nkoi' kule silent inn na sasa bado anatesa akiwa bado akipepeta na twanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. shehe naomba nkurekebishe kidogo ilikuwa enzi za ikibinda nkoi,

    ReplyDelete
  2. sio mchezo, bado kidogo vitu vyote vingekua nje. si ndo inaitwa dada angalia usichafue mazingira.

    ReplyDelete
  3. Cat de Luna wa bongo ila viatu kidooogo ndo noma.

    ReplyDelete
  4. Hakika Lilian Intenet yuko juu siku zote, na yeye na Aisha Madinda ndio nembo ya Twanga Pepeta katika safu ya unenguaji kwa wasichana. Yuko juu daima. Twanga Pepeta wananifurahisha hivi sasa na staili yao mpya ya sugua kisigino. Imetulia kimtindo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...