lina sehemu mbili za kupikia , oven na mtungi wa maji yaliochemshwa .hutumia kuni au briketi.lina sehemu moja tu ya moto yakufanya kazi zote.
Hutumia kuni au briketi kidogo sana .limatengenezwa na women development for science and technology association Arusha
Mdau Msafiri SS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hawa ndiyo watu wa kusaidiwa na serikali ili tuweze kuokoa mazingira kwa kutumia majiko yanayotumia kuni kidogo. Serikali yetu ilipoingia madarakani ilikuja na mkwara wa kuokoa mazingira lakini hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa ili kupunguza matumizi ya mkaa na kuni licha ya utajiri wa gesi na makaa ya mawe tulionao (kweli kwenye miti hakuna wajenzi!!!). Ili tuendelee tunahitaji zaidi matendo na ubunifu na siyo blaa blaaa. Nawaomba wabunifu, hasa vyuo vya veta wajitokeze kwa wingi ktk kubuni majiko mbadala kwani hili eneo lina pesa nyingi sana kwa kuwa watu wengi wanatumia pesa nyingi kwa nishati ya kupikia

    ReplyDelete
  2. Naam...sasa tungojee ubwabwa na maharagwe pamoja na kambale yatakayopikwa kutoka mitungi ya Kyela!

    ReplyDelete
  3. Kama hili ni tangazo Michuzi wasaidie kuweka na contacts zao kamili ili tuweze kuwatafutia soko.
    Hongereni sana akina mama Arusha

    ReplyDelete
  4. Naomba mdau unieleze technologia hiyo tunaweza kuiba wapi. Mimi nilikuwa nafikiria ni namna gani naweza kumpatia mama yangu mzazi kijijini kwetu kitu kama hicho, japo naye aweze kuondokana na hazia za majiko yetu (asilia) ya kuni. Big up mdau tunataka vitu kama hivyo. Tupe shavu babake yutaweza kuona wapi hiyo technilogia.

    ReplyDelete
  5. hatutaki kuni tunataka nishati mbadala!!!khaaa hamuelewiiii???
    kinyesi cha watu na mifugo,gesi nk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...