Home
Unlabelled
Jiko la mama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa ndiyo watu wa kusaidiwa na serikali ili tuweze kuokoa mazingira kwa kutumia majiko yanayotumia kuni kidogo. Serikali yetu ilipoingia madarakani ilikuja na mkwara wa kuokoa mazingira lakini hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa ili kupunguza matumizi ya mkaa na kuni licha ya utajiri wa gesi na makaa ya mawe tulionao (kweli kwenye miti hakuna wajenzi!!!). Ili tuendelee tunahitaji zaidi matendo na ubunifu na siyo blaa blaaa. Nawaomba wabunifu, hasa vyuo vya veta wajitokeze kwa wingi ktk kubuni majiko mbadala kwani hili eneo lina pesa nyingi sana kwa kuwa watu wengi wanatumia pesa nyingi kwa nishati ya kupikia
ReplyDeleteNaam...sasa tungojee ubwabwa na maharagwe pamoja na kambale yatakayopikwa kutoka mitungi ya Kyela!
ReplyDeleteKama hili ni tangazo Michuzi wasaidie kuweka na contacts zao kamili ili tuweze kuwatafutia soko.
ReplyDeleteHongereni sana akina mama Arusha
Naomba mdau unieleze technologia hiyo tunaweza kuiba wapi. Mimi nilikuwa nafikiria ni namna gani naweza kumpatia mama yangu mzazi kijijini kwetu kitu kama hicho, japo naye aweze kuondokana na hazia za majiko yetu (asilia) ya kuni. Big up mdau tunataka vitu kama hivyo. Tupe shavu babake yutaweza kuona wapi hiyo technilogia.
ReplyDeletehatutaki kuni tunataka nishati mbadala!!!khaaa hamuelewiiii???
ReplyDeletekinyesi cha watu na mifugo,gesi nk