Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Tunapenda kuwataarifu na kuwaalika kwenye semina ya neno la Mungu ambapo Watumishi wa Mungu toka Tanzania Diana na Christopher Mwakasege watahudumia.

Tarehe: May 22-24 2009 [memorial-weekend]
Mahali: United States of America.[USA] [taarifa zaidi itatumwa ].
Wagonjwa na wenye mahitaji mbalimbali wataombewa.
Tafadhali usikose Semina hii maalum kwa ajili yako.Taarifu na wengine.
Kwa maelezo zaidi au maswali unaweza kuandika kwa :


Tunakuombea kwa Mungu ili uweze kupata muda na uwezo wa kuhudhuria,
Timu ya Maandalizi [USA]
WWW.MWAKASEGE.ORG

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Jamani tulishawaambia mtupe na picha za huko Marekani atakavyohudumu. Hii picha ya tangazo ni Outdated na ni ya hapa bongo. Circular musician hutupasha kwa picha na hata kumbi wanazo-perform. Ndio maaan hii ni blog ya jamii.Hata kama atahudumu/hubiri kwa watu 2 tu, si mtupashe??? au mnataka cheap publicity?????

    ReplyDelete
  2. wakuu sisi watu wa Ukerewe pamoja na sehemu za mkoa wa mara tunamuomba mhusika aifanyie review hiyo email address ya kula.mana kwani inaeleweka kivingine kabisa. Au sio wadau?

    ReplyDelete
  3. May 22 - 24! Mbona kuna muda wa kutosha kutangaza kwa nini leo?
    Si ungempa Michuzi na wengine muda wa kutangaza mambo ya Thanksgiving, X-mas, New Year na Valentine.
    Unweza kuanza kuandaa. Ila matangazo bado sana ndugu yangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...