jengo la kodi na mapato mtaa wa samora avenue baada ya ukarafati na ukarabati mkubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. mbona kaa msikitini au yale majengo ya zanzibari ya enzi za kina shamte.

    ebwana embu tujenge majengo ya glasi na vioo kama hapa kwetu new york! kitu babu K! .. whats that now? these are my opinions. nawasilisha hoja. waziri anaehusika na ujenzi,acheki cheki,kwani haya mambo yanaongeza hata tourists!

    mdau cincinatti, ohio
    but lives in bufallo, NY

    ReplyDelete
  2. MAMBO SI HAYO ! KUMBE INAWEZEKANA KUKARABATI MAJENGO YA ZAMANI NA KUBAKIZA KUMBUKUMBU NZURI YA JIJI LETU ! BADALA YA KUBOMOA BOMOA MAJENGO YA KALE KISA WAKWASI WAJENGE MAJENGO WANAYOYAITA YA KISASA ! NA SIJUI JIJI LIMEJAA ? NENDENI MKAJENGE NJE YA MJI NA KUPUNGUZA MISONGAMANO YA MAGARI NA MIONDO MBINU MINGINE ! WANAJENGA MAJENGO MAREFU MAPYA NA MIONDO MBINU INAYOHUSIKA NI YA ZAMANI MATOKEO YAKE MAJI TAKA YANASAMBA OVYO BARABARANI ! WAHUSIKA/WENYE MAMLAKA PENDENI JIJI LENU TUNZENI VYA KALE AMBAVYO HATA WATALII WAWEZA KUJA TEMBELEA KUVIONA ! WATALII HAWAWEZI KUJA ANGALIA MAJENGO YA KISASAS HAPA ! KULE KWAO NDIO KUNA KILA KITU cha KISASA KARABATI MAJENGO YA KALE NA UTUNZE AN ANCIENT ARCHITECTURE !.
    Mzushi

    ReplyDelete
  3. mbona kama msikiti. jengo la bunge dodoma nalo limekaa ki-msikiti, na hili tena! tannzania open your eyes!

    ReplyDelete
  4. Naungana na huyo Annon. wa pili kuwapongeza TRA.

    Hivi ndivyo inavyotakiwa kukarabati Majengo bila kuharibu orijno strakcha yake, ili kuprizev historia.

    Hii nimeiona nilivyokuwa Rome (Old Rome) kwa yale Majengo ya zamani yenye historia.

    Majengo mapya yanajengwa sehemu nyingine (New Rome) na sio ku bomoa/haribu yale ya zamani.

    Hongereni TRA.

    ReplyDelete
  5. Jengo zuri sana linapendeza ukipita maeneo hayo. Lakini cha ajabu hakuna parking za magari!!!!! Tokea TRA wamehamia hapo foleni imeongezeka mara saba zaid mtaa wa Samora!!! Wao wenyewe hawana Parking licha ya Wateja wao. Inaniudhi sana hii hulka ya watu kujenga majengo mjini bila kufikiria Parking!!!!!!!! @ Nagira.

    ReplyDelete
  6. NI KWELI JENGO HALIVUTII KAMA OFISI,NI KAMA SEHEMU YA MSIKITI

    ReplyDelete
  7. Jamani kuwa na majengo ya glass ndo maendeleo? makubwa mie! Hilo jengo kwa taarifa ya hao wasiojua ni la zamani sana na walichofanya TRa kwa msaada wa Umoja wa Ulaya (EC) ni kulikarabati bila kuharibu uhalisia wake! Hongera sana kwa kutunza muundo huo! Nchi nyingi duniani huwa hawavunji majemgo ya zamani bali wanayaboresha kwa kuyatunza vizuri. Parking ya hilo jengo iko nyuma, kule kulikokuwa na mahakama ya Ilala!

    ReplyDelete
  8. I support the logic and decision to maintain the face of these old structures. This is the old Dar Es Salaam city and we should appreciate what the previous generation put in place. Satelite cities zinazkuja ndio zibebe miundo mipya ya kisasa. Hongera sana TRA, na ndugu zetu wa NHC should take this as a challenge kwa development zinzoendelea kwa kasi sasa jijini DSM.

    ReplyDelete
  9. Halijakaa kama msikiti, wametunza original Architecture yake ni muhimi kwa kumbukumbu. baadae majengo haya yataisha yote na watoto wetu hawatayaona. jengo la bunge ni Tanzanian msonge concept si msikiti. wameangalia Utanzania kwenye design. na hiyo ni nzuri kwa majengo muhimu kama yale. Glass high rise building si jadi yetu

    ReplyDelete
  10. Congratulations to the Architect mzee Anthony Almeida msanifu majengo mtanzania mwenye sifa kubwa kabisa na anayeheshimika kwenye community ya ma Architect ndani na nje ya nchi.For those of you who dont appreciate the building knwo this its important to preserve our history through buildings and other things such as culture.remember old is gold.mbona mnaenda ulaya na kupiga picha kwenye majengo ya zamani???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...