Home
Unlabelled
uso kwa uso na ivo mapunda ethiopia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dah, kama kariakoo vile. Nyasi mbona nyekundu au nao hawana maji kama sisi, teh teh teh
ReplyDeleteAnony hapo juu Ethiopia ni semi -desert country kumbuka jografia yako ya darasa la 5
ReplyDeleteMh. Balozi na Mkuu wa wilaya ya Tegeta. Kwa heshima nataadhima kama kweli unapenda vijana wa nchi yako nakuomba wakati unarudi Bongo urudi na kijana wetu Ivo Mapunda kwa muonekano tu wa kiwanja na hao vijana anaofanya nao mazoezi bila hata ya kocha ni ukweli usiopingika kuwa tunapoteza kipaji cha kijana wetu.
ReplyDeleteCHANGARAWE
Du uwanja umechoka kupita kiasi hawa na pesa ya kulipa wachezaji watakuanayo kwelii si bora angecheza soka bongo tu huko anapoteza muda tu kwanza kiwango cha soccer hapo kipo chini mnooo afanye mpango arudi bongo tu aibu
ReplyDeletejaman team inapesa kweli au ndo ipo nnje tanzania bc wachezaji w2 wanakwenda tuu kucheza ili mladi nao waonekane wanacheza soka nnje ya nchi yao? uwanja n mbovu kama wa kagera sugar bwana
ReplyDeleteDuh,jamani mazoezi kanisani!na kweli wanavyosema ALELUYAH!!!
ReplyDeleteWaswahili bwana, kwani SIMBA wana uwanja?? Mbona wana wanigeria wamewasajili!! wabongo, mpaka mtu achezee ulaya ndo mnampa maujiko. Mshafika uwanja wa Kaunda (uwanja wa Yanga). lakini hao hao yanga wanasajili wakenya.
ReplyDeleteAcheni hizo, mlitaka Ivo aozee bongo na amalizie mpira wake bongo!!! Jamani, waliomalizia mpira bongo, makipa mashuhuri wako wapi, mnawaenzi nini kwa uzalendo wao. Ivo big up sana, mwanzo wa safari ni hatua.