kipa wa taifa stars ivo mapunda (nyekundu) akijifua na makipa wenzie wa timu ya St George ya Ethiopia leo asubuhi katika viwanja vya michezo vya Bole jijini Addis Ababa. Habari kamili kuhusu uhamisho wake wenye mizengwe soma Daily News na Habari Leo kesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Dah, kama kariakoo vile. Nyasi mbona nyekundu au nao hawana maji kama sisi, teh teh teh

    ReplyDelete
  2. Anony hapo juu Ethiopia ni semi -desert country kumbuka jografia yako ya darasa la 5

    ReplyDelete
  3. Mh. Balozi na Mkuu wa wilaya ya Tegeta. Kwa heshima nataadhima kama kweli unapenda vijana wa nchi yako nakuomba wakati unarudi Bongo urudi na kijana wetu Ivo Mapunda kwa muonekano tu wa kiwanja na hao vijana anaofanya nao mazoezi bila hata ya kocha ni ukweli usiopingika kuwa tunapoteza kipaji cha kijana wetu.

    CHANGARAWE

    ReplyDelete
  4. Du uwanja umechoka kupita kiasi hawa na pesa ya kulipa wachezaji watakuanayo kwelii si bora angecheza soka bongo tu huko anapoteza muda tu kwanza kiwango cha soccer hapo kipo chini mnooo afanye mpango arudi bongo tu aibu

    ReplyDelete
  5. jaman team inapesa kweli au ndo ipo nnje tanzania bc wachezaji w2 wanakwenda tuu kucheza ili mladi nao waonekane wanacheza soka nnje ya nchi yao? uwanja n mbovu kama wa kagera sugar bwana

    ReplyDelete
  6. Duh,jamani mazoezi kanisani!na kweli wanavyosema ALELUYAH!!!

    ReplyDelete
  7. Waswahili bwana, kwani SIMBA wana uwanja?? Mbona wana wanigeria wamewasajili!! wabongo, mpaka mtu achezee ulaya ndo mnampa maujiko. Mshafika uwanja wa Kaunda (uwanja wa Yanga). lakini hao hao yanga wanasajili wakenya.
    Acheni hizo, mlitaka Ivo aozee bongo na amalizie mpira wake bongo!!! Jamani, waliomalizia mpira bongo, makipa mashuhuri wako wapi, mnawaenzi nini kwa uzalendo wao. Ivo big up sana, mwanzo wa safari ni hatua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...