










Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa mbali nakaona ka ze fulanaz!
ReplyDeleteHakuna mpango huko! Boea urudi tuendeleze libeneka. Mtu gani una-access blog mara moja kwa siku mbili huko!!?
ReplyDeleteBongo tambarare tu. watu wengi wabishi bila sababu!
Nilizania huko mlikwenda na private jet? ahhhh bwana vacation yote hiyo
ReplyDeleteze fulanaaaz inaonekana hehe leo imegeuka shati la tai,hehehe kama umeishiwa njoo vumbini.
ReplyDeleteHivi anayekupiga hizi picha kila siku uko ughaibuni ni nani?
ReplyDeletenivizuri kama unajuwa bongo tunakula vumbi
ReplyDeletedah,hio style ya kuchovya kwenye bakuli moja la mchuzi watu wote kwa mkono bado ipo tu?kipindupindu ndio maana hakiishi afrika,
ReplyDeleteWENZETU MTEJA NI MFALME, KWANI KWENU BONGO MTEJA NI ADUI? MBONA UNATURUDISHA NYUMA MICHUZI???
ReplyDeleteKaka Michuzi wadau wa Trondheim (Norway)tunakuomba basi uje na huku ukipata kavekesheni maana unaambaambaa tu mara ujerumani mara...Ahsante sana kwa blogg hii maana nisipofungua hapa siku yangu haijakamilika.Umetuunganisha na unatuma yote yanayoendelea home.Udumu!
ReplyDeleteMh. bro. Mithupu kulikoni umetusikitisha wana blog ya jamii kwa kitendo cha kurudi pekeyako na kumuacha kijana wetu Ivo Mapunda mahala pasipo na dalili za kukuza kipaji chake labda abadilishe fani na aanze kucheza ngoma za kutikisa kichwa make hapo kwa muonekano wa kawaida no challenge.
ReplyDeleteCHANGARAWE
Wenzetu wana ndege, marubani, mafundi, na kila kitu chao.
ReplyDeleteWalianza zamani na wanaruka mabara!
Viongozi wetu waache uchu: Taifa kwanza; achaneni na biashara na hali mnalipwa na umma. Wakati upo wapi wa kufikiria cha umma, kama siko kuibia umma!
Tuwaheshimu! Walitusaidia sana kukarabati videge vyetu mwanzoni mwa kuanguka kwa East African Airways, huku tukitarajia ugeni mkubwa sana wa kimataifa, la sivyo tungeaibika sana!
Majirani (eti watani wa jadi) wakatupiga vikumbo!
unaposema unarudi bongo kula vumbi, unataka kutuambia huko ethiopia hakuna vumbi?
ReplyDeleteUwanja nje tu hyuo. hauna lolote! Kaa wetu tu. Ndani kumejaa vichangu kibao vinauza nguo mle. Ukiingia kichwa kichwa utaona vinakuonyeshs matiti, ati vinasema .. this is yours..,, give me 100usd! Sasa huko mitaani inakuwaje?! Ila uzuri bila ubishi, ni vizuri sana kwa shape na sura.
ReplyDeleteHayo wabongo wenzagu mambo hayo mnayaona Ethiopia ni chi ambayo haina kitu ukichukulia rasimali lakini angalia hatu walivyo ipiga hatua kimaendeleo impression tu ya airport inakuonyesha watu walivyo develop kwa kiasi fulani siyo mambo ya kwetu eti Mwl. Nyerere intern. airport jamani hii ni aibu sana, basi kama hatuna uwezo wa kujenga uwanja mpya basi huu tulio nao tujitahidi kuutunze.. . ...intern airport haina hata vyoo ...maji hayatoki ,harufu mpaka kwenye sehemu ya checking...tunakalia longo longo ohooo.....ohoooo huku(EPA) wahindi na majambazi wa kitanzania wanajichotea mabilioni ya pesa instead of utilise the small income we have to develop our country...tunabaki ohoo watani wa jadi wametupiga kisigino , wao wako serious different with Tanzanian leaders ......
ReplyDeleteanyway bongo tambarare mijuzi endeleza limbekene...
Mdau wa Kamachumu...
kwanza no matter what fulana idumu
ReplyDeletepili hapo mnapokula pamoja huyo mtu anakuangalia na jicho hilo sijui ile michapati yao ulikua unaimaliza yote au unamaliza mboga?
tatu pamoja na njaa yote ile huko ethiopia lakini jiji lao is a breath taking
nne kweli bongo mteja sio mfalme kabisa. Ukienda bank, posta, hotelini na kwenye maduka ya nguo wahudumu wanadengua sana. Wanavyokutreat ni kama umeenda kuomba kumbe bila wewe wao wasingekua hapo.
Tuache uwongo Kaka Michuzi. Kwa kweli kama sikosei nafikiri TZ ndio nchi ya mwisho kwa maendeleo katika nchi za Afrika mashariki. Nimefika Adis, Kampala, na Nairobi kwa kweli tuko nyuma saana. Hata Mogadishu na shida zao hatujawapita hata kidogo, yaani Bongo tuko nyuma kishenzi. Hivi wapi tunapokosea?
ReplyDeleteMajitu mengine bwana. Huwaga nashindwaga kuyashangaa kabisa! Maana yenyewe ni mshango tayati. Sasa wewe ANNON nNov 23 11:50pm hapo juu kuona hizo picha za Addis Ababa basi umeshaona kuwa Ethiopia imeendelea sanaa! Hizo slums karibu na mji hujaona ati!? Kwani hizo barabara alizoonyesha Michuzi zina tofauti gani na zile za Bandari-Mbagala na ile ya Ubungo-Mwenge pamoja na zingine kibao!?
ReplyDeleteKwa Taarifa yako, picha alizopiga Michuzi ndizo best kwa Ethiopia. Angeenda mitaani au miji mingine ungekaa kimya kabisa. Usiangalie kitabu kwa rangi yake bwana!
Tanzania tuko juu juu sana sana kwa kila kitu. Ila nyie hamtaki tu!
uhabeshi hakuna dili mwaya wasingekua wanatorokea kwao kuja kubanana na sie pale kariakoo au kule kasumulu na tunduma mbeya...asilimia kubwa ya wahamiaji haramu wanaokamatwa hapa bongo ni wahabeshi na wasomali sasa kama kwao kungekua mswano wangekuja huku..we have to be proud with our nation sio tunakandia tu kila la kwetu shida zipo kila mahali duniani hatukuona new orlens kule kwa kina obama?
ReplyDeletebora urudi kwenu huko hakuna mpango sasa soko kuu la afrika kuna punda wanaochafua mazingira...we umeona punda walau hata kwenye soko la kule waliya unayoingoza ya tageta...bongo tambarare mwayaaa..
ReplyDeleteduh,,,hahahaha teh teheeee ze fulanazzzzzz heee michu ivi ni kweli ni iyoiyo au unazo dazeni??
ReplyDeleteila michu nshakushtukia ukiwa na totoz izo lzm ukomenti kiaina,,duh ujikazi???
ndo mana shingo umeilegezaaa juu-juu hahahaaaaa
what birr 1=$10????????heee tshs???uwiiiiii
ilo koti na ze fulanaz apo umetisha wa'hlai.
annon ulouliza nani kampiga pic,,,ni my waifu wake make siwezi amini asafiri vekeshen zooote izo bila mamsapu ni hatari
Hilo kanisa kweli disaini ya israeli au arabuni, mbona ya hapa yako kama ya magharibi? Kwani umagharibi unahusiana vipi na imani?
ReplyDeleteNilipita ethiopia miaka 1990s kuelekea xxxxx,kusema kweli hakuna kitu cha maana hata hapo "Hadithi ya Baba" ni upuuzi mtupu.Nakumbuka kipindi hicho hicho kiwanja cha ndege kilikuwa bado kinajengwa.Walikuwa wanatumia kiwanja cha Zamani pembeni kidogo nadhani wengine mnakijuwa,nilikwenda chooni hata kukojoa niliacha palikuwa na toilet paper zilizotumiwa zimetapakaa kwenye sakafu(Huu sio uongo wala kuwapaka wahabeshi)Najuwa airport ya Bongo ilivyo ovyo na chafu lakini sio sisi peke yetu hata hawa "light skin/good hair" nao wachafu kinoma.
ReplyDeletePili hivi hawa jamaa hawaagizi magari mapya. Miaka yote magari yao ni yale 1970's-1980. Ina maana wanashindwa kununua magari ya 1990's - present? Kwa hili tumewapiga bao kuuuuuuubwa,Dar kila kukicha ni mandinga mapya bwana sio kama hawa wahabeshi.
*Ina maana wenye magari ni wachache au barabara(miundo mbinu) yao ipo juu kuliko sisi?
Duh Magari yanahesabika.
ETHIOPIAN AIRWAYS IS INTERNATIONAL AIRLINES. WE TRAIN MOST ENGINEERS FROM EAST AFRICA TO SERVICE THEIR PLANES. WE BRING HOME OVER 1 BILLION DOLLARS A YEAR BECAUSE WE ARE 4 MILLION ABROAD.WE HAVE A LONG WAY TO GO BUT YOU CAN'T COMPLAIN THAT OUR COUNTRY IS DIRTY WHEN YOURS IS THE SAME. WE ARE ALL DEVELOPING COUNTRY AND BEG EUROPEANS TO SURVIVE DAY TO DAY. JUST CHECK YOUR GOVERNMENT BUDGET SINCE INDEPENENCE. MANY OF YOU WOULD NOT HAVE AFFORDED TO GO AND CLAIM FAKE ASYLUM IN EUROPE IF IT WASN'T FOR THE FACT THAT OUR PLANE FARES ARE MUCH CHEAPER THAN EUROPEAN CARRIERS OR EMIRATES. THINK BEFORE YOU CRITICISE. YOU DON'T EVEN HAVE ENOUGH UNIVERSITIES THERE, JUST GOOGLE ETHIOPIAN UNIVERSITIES AND COMPARE THEM WITH EAST AFRICAN, LET ALONE TANZANIAN UNIVERSITIES.
ReplyDeleteGABRE HALASI, Ph.D
(MY GRADUATE STUDENT, (HE WANTS TO BE ANONYMOUS) WANTED MY OPINION ON THIS MATTER. HE IS TEACHING SWAHILI TO ME, WE ARE TEACHING HIM CIVIL ENGINNERING IN OUR UNIVERSITY OF ADDIS ABABA).
Dear Mr. Michuzi,
ReplyDeleteI can see that you really enjoyed our country. Please come again soon.
I have compiled some interesting statistics for Tanzania and Ethiopia for the pleasure of your educated readers.
All figures are 2007.
Sources: CIA The World Factbook and www.theeconomist.com
Kind regards,
Dr. Halasi
Addis Ababa
Ethiopia Tanzania
GDP (PPP) $56.05 billion $51.07 billion
GDP - real growth rate: 11.1% 7.3%
GDP - per capita $700 $1,300
Budget: revenues: $3.231 billion revenues: $3.561 billion
expenditures: $3.594 billion expenditures: $3.785 billion
Public debt: 44.5% of GDP 19.6% of GDP
Exports: $1.288 billion $2.227 billion
Imports: $5.165 billion $4.861 billion
Reserves of $ & Gold $1.294 billion $2.91 billion
Debt - external: $2.621 billion $4.382 billion
Exchange rates: birrs (ETB) per US dollar - 8.96 (TZS) per US dollar - 1,255
Telephones (cell) 1.208 million 9.358 million
Telephone (landline) 880,100 165,013
Military expense: 3% of GDP 0.5% of GDP
Education expense: 6% of GDP 3.2% of GDP
Literacy: total population: 42.7% total population: 69.4%
Life expectancy at birth: total population: 54.99 years total population: 51.45 years
Infant mortality rate: total: 82.64 deaths/1,000 live births total: 70.46 deaths/1,000 live births
Population growth rate: 3.212% 2.072%
Population: 82,544,840 40,213,160
HIV/AIDS (Alive) 1.5 million 1.6 million
HIV/AIDS (Died) 120,000 160,000
Area: total: 1,127,127 sq km total: 945,087 sq km
We Anon wa November 25, 2008 10:25 AM, naona una ujinga typical wa kibongo. Hivi kuwa na maendeleo nchini ni mpaka uwe na magari mapya? Tuache uwongo Ethiopia wanatupiga chenga ya mwili katika miundo mbinu, kama uwongo tafadhli Michuzi nikosoe. Nilikuwa Adis mwezi uliopita kikazi lakini ukweli lazima usemwe, hawa jamaa pamoja na shida zao zote wametupiga chenga katika miundo mbinu. TZ kweli bado tuko nyuma hata Uganda na Kenya zimetupita ki-miundo mbinu. We Michuzi na mimi hatutambiani, umetembea sana barani afrika tafadhali kama nadanganya hapa nikosoe. Wabongo lazima tukubali ukweli msipende kubishana tu for the sake of arguing, huo ni ujinga. Nyie kazi kubishana wenzenu wanasonga mbele. Kuna jamaa alisema alikuwa Ethiopia miaka ya 90 na uwanja wao ulikuwa hovyo. Wao waliona vile wakajirekebisha kwa kujenga wanja la kisasa ambalo Bongo hatuna, wana maji na vyoo vinaflush, kuna air condition mle ndani lakini Bongo hii kitu hatuna. Vyoo vyetu haviflush na uwanjani (inside) kuko too hot hata air conditoin hakuna. Je huu ni uwongo? Acheni upuuzi! Bongo tukoo nyuma sana kimaendeleo we angalia mpaka Rwanda inatupita siku hizi, na sisi tuko pale pale. Kila kukicha magorofa yanaporomoshwa kiholela bila mpangilio wowote wa jiji, mvua ikinyesha tu, mavi yanafurika mitaani. Come on you guys...get a grip.
ReplyDeleteAnony 8:57 pm hapo juu, nadhani unataka kumjibu wa 2:09, kwa kuwa 10:25 ni Mhabeshi na haongelei magari.
ReplyDeleteLakini, naakuunga mkono vile vile, Bongo maneno mingi na nchi nyingi kama Rwanda zitatupita tu kwa kuwa sisi ni wavivu. Mpaka China atujengee kiwanja kwa mfano, kilikuwa kinaoza. Leo tunapiga kelele sana kama vile tumejenga wenyewe.
Kuhusu eapoti yetu, nchi nyingi zinapanua eapoti kutokana na biashara inavyokua, lakini yetu iko pale pale, haijabadilika kabisa. Nadhani kitu muhimu Tanzania hatujui ni kumfurahisha mteja. Kenya wameshapanua yao, na nchi jirani nyingi wanafanya hivyo pia.
Tukienda kwa IPP media kusoma habari, utaona kuwa haijabadilika pia. Huwezi kusikiliza redio yao wala kutoa maoni yako. Website imekaa vile vile na kuna habari chache tu zinazobadilishwa kila siku. Je, hatuna wasomi wa Sayansi ya Komyuka hapo IPP au ni uvivu tu?
Hata Balozi, japokuwa yuko bize na shughuli za kikazi na vekesheni, ameweza kubadilisha websiye yake mara kwa mara kuiimarisha. Labda IPP iimpe dili ya kuifanya iwe imara kidogo. Iangalie hio IPPMedia halafu nenda http://www.eastandard.net ya Kenya, utaona jinsi tulivyo nyuma sisi kimaendeleo. Yaani The Standard inaghara sana utafikiri unasoma BBC.
Tanzania tusistuke kama tutapishwa kiuchumi na Rwanda au Burundi hivi karibuni. Tuamke jamani.