kiingilio ktk pambano hilo kitakuwa ni yen 5000 na usafiri ni yen 1000.
Watanzania wote mnaombwa kuhudhuria kwa wingi na kumshangilia mtanzania mwenzetu ili aweze kuibuka mshindi na kuitangaza nchi yetu ktk nyanja hii muhimu ya michezo.
Wadau waishio kanagawa usafiri utaondoka saa saba kamili sehemu ya kukutana ni Erica restaurant Odakyu sagamihara na kwa maelekezo kamili wasiliana na wahusika
Taji - 080-6563-7879
khalid - 080-6612-4622
au
ktb mwenezi Mweri- 080-3532-4043
watakupatia maelezo kamili
Nawapa big up wabongo wote wa japan kwa kuonyesha uzalendo wa kwenda kumuunga mkono msela wetu kaseba.Zamani ilikuwa sio rahisi kusikia watanza wa ughaibuni wanafatilia habari za wanamichezo wetu walioko nje lakini nyinyi mmemtafuta Kaseba.
ReplyDeleteKeep it up sisi tulioko bongo tunasema Much Love to You All!!
If Kaseba is looking to raise his fight skill and become a full dimension he needs to get into MMA style not kick box only; I’m wishing him the best for his fight tomorrow.
ReplyDelete