
Mwanamuziki Alikiba amevunja rekodi ATLANTA kwa kuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Africa mashariki na kati kufanya show Marekani Iliyofana na kujaza watu (zaidi ya 1000).
Show hiyo iiloandaliwa na vijana machachari wa Takeover Dj's, ilifanyika siku ya ijumaa 11/28/08 kwenye ukumbi mkubwa na maarufu Atlanta wa "THE DREAMZ."
Alipoulizwa anajisikiaje kufanya show kwenye ukumbi huo ambao kwa kawaidia unatumika na masuperstar kama MARY J BLIDGE, P.DIDDY NA JAYDEE na kufunika, kama kawaida yake Alikiba alimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpa uwezo na pia washabiki wake wote waliojitokeza kumsupport na kuahidi atamaliza tour yake kwa nguvu huko
OAKLAND CA 12/05
SEATTLE, WA 12/06
na
DALLAS TEXAS 12/13.
WATANZANIA WOTE MNAOISHI HAYA MAENEO TUNAWAOMBENI MJITOKEZEE KWA WINGI ILI TUENDELEE KUMSUPPORT KIJANA WETU.
ASANTENI NA SIKU NJEMA.
oh please..umemuweka jaydee kwenye list ya superstars wa states kama diddy na mary j??? come on now...
ReplyDeleteWATU ZAIDI YA 1000, AMETIA FORA, MMMMMMMMMMMM!!! 1000?
ReplyDeletehivyi huyo ally kiba wanamlipa fresh kweli au ndo wanamtumia tuu kutajilisha watu then yy mwenyewe ajijui?? michuzi embu try kuuliza per show wanamlipa how much!!
ReplyDeleteWee mshamba anony wa kwanza, Jaydee here refers to Jermaine Dupree (producer and recording artist)
ReplyDeletewatu 1000?sio kweli mbona hamjaonyesha picha mgepiga picha tuone hao watu buku, hii ni fix.
ReplyDeletehii ni advert watu waje wengi kwenye maonyesho mengine
HABARI HIZI NI UZUSHI MTUPU.wameshaona wa2 wamemchoka huyo Ali Kiba sasa wanaleta usanii mwingine.
ReplyDeleteFridays Club Dreamz hawawezi kuwaachia ukumbi kwa ajili ya huyo Ali Kiba hata kiduchu.kwanza kwa pesa gani ambayo mngewalipa??na pili hao wa2 weusi na wasivyoijua lugha ye2 si wangedai REFUND??teh teh teh
kama alikuwa Dreamz ATL labda kwa huzuru binafsi na sio kupiga show.
PLZ STOP blah blah blahaaaaaaaa.
kama vp tuwekee uthibitisho wa pix akimwaga radhiiii.tena ktk hizo pix yale maplazma walau mojawapo lionekane.hahahaha
wajameni sasa mnaomba waTZ wajitokeze kumsapoti Ali Kiba au waje ili mpate "vijisenti vya kulipia bili zenu?".pumbuzeni porojo za "uwana-siasa".kama sapoti alishapata alipokuwa mgeni miezi 4 iliyopita.hivi sasa hana kamba tena mguuni..he's on the loooooose.........
ReplyDeleteanyways,mlio jirani na maeneo hayo pelekeni sapoti zenu.
Jermaine Dupri anafupishwa JD sio Jaydee kwa hiyo hata wewe anony wa 250pm usijifanye unajua saaannaaa!! Jamaa anashangaa mataa na madaraja na magorofa ya Marekani tu akahadithie Kigoma kwao basi..!! Hawampi cheddar wala nini!! Ananuliwa vinguo akauze sura bongo...!! Ila dogo pumba tuu!!
ReplyDeletefunga kamba tupu, nasubiri malalamiko kwa walihudhuria
ReplyDeleteUkipiga kwenye ukumbi ambao wamepiga masuperstar sio kuwa watu wamekukubali ni kwa vile waliupata kwa bei nzuri.
ReplyDeleteHamna hata watu wa USA 10% hapo sasa ukikubalika sio ukubalike na wakenya na wabongo tu bali na watu wote.
Ni mtu muimbaji mzuri lakini kumfananisha na mary J, P diddy that is too much. Kwa hiyo walioingia hapo kwenye huo ukumbi siku hio nao unawafananisha na paris hilton, michael jordan, Don Lemon etc wote hao wameshaingia kwenye huo ukumbi pia
THATS NOT TRUE!!!!!
ReplyDeleteIlifanyikia katika ukumbi wa hoteli ya Ramada, tena hao maorginizers were sooo disorgized maana show haikuanza mpaka around midnite alafu mapolisi shut it down around 2 am...kila mtu alikuwa vey very disappointed in this show. Kama mnataka tumsupport, all you have to do is ask but dont tell no lies.
Jamani mwachieni dogo arudi kwao basi! Mpaka ifike mahali hamna mtu anakuja kwenye show yake ndio muone sasa basi! Na dogo mwenyewe hata hastuki.....
ReplyDeleteninamtafuta ndugu yangu huko Texas Delton yeye ni Grolia na Floral Mochiwa please watu wa Mexico nisaidieni Grolia ameolewa na Marines polise na ninaskia ya kwamba yeye na nduye wanacafteira
ReplyDelete