COMING SOON ARE "BAJAJI BALOON" – SPACIOUS, COMFORTABLE, AIR CONDITIONING, CURVED WINDOW SCREEN, LEATHER SEAT COVER, ECONOMICAL.

Mwe!

Kwa mwendo huu lazima nitapanda bajaji kwa sana na pole kwa wenye Taxi.
Mdau BK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii ni mbinu ya kuua biashara halali inayolipa kodi ya teksi? au? tuelezeni

    ReplyDelete
  2. madereva wa bajaji tabia yenu ya kupitilizaga kwenye makutano ya barabara bila kutizama kama upande mwengine kuna gari inakatiza muuache,mpo very careless nyie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...