Ile Ijumaa iliyokuwa ikisubiriwa na wabongo na waafrika wengi nchini Italia ndio hiyo inakuja.

Wadau wote mnakaribishwa kuja na kujirusha Ndani ya Rome Ijumaa, ambako Bongo Flava itasumbua kwa mara ya kwanza ndani ya Club mjini Rome.
Upatapo Ujumbe huu mshtue na mwezio..
.epuka lawama!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tunakuomba Issa katika pita pita zako utuwekee bei za vyakula kama mchele na nyama na vitu vinginevyo
    asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...