
Habari zaidi bofya hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tumezoea kuona watu wa Boutique wanakwenda Asia kununua nguo
ReplyDeletekumbe hata huko zetu wanaweza kununua? Viwanda na Biashara fungueni njia kwa wazalendo sio mnakalia Seminar na Makongamano yasiyokwisha.
Hongera Micky kwa kutupasha za huko
Ujinga gani huo yakhe!!!tangu lini hizi ni nguo zetu za kijadi?labda nyie wabeba maboksi mmezisahau jadi na mavazi yetu???
ReplyDeleteThis is so cool. Designer wa bongo manaona mitindo hiyo. Simple but sure ehe. Hizo mkitengeneza bongo hata huku zitapata masoko sana tu hasa hasa ya huyo mwanamke.
ReplyDeleteIpo siku tutajifunza ku appreciate vya kwetu. We unayeponda hizi nguo Hebu funga macho halafu kumbuka picha za zamani, Mwambie Michuzi aweke picha ambayo akina Sofia Kawawa, Bibi Titi Mohamed walikuwa wakicheza kujipongeza mwaka 60's uone!! Zamani kulikuwa na Min na Max.
ReplyDeleteNi mtazamo tuu