ISLAND Shop Malaysia ikiwa ni wauzaji na wasambazaji wa Island Shop Singapore, Lebel ya nguo ambayo inaheshimika sana kipande hii ya Asia wamekuja na kauli mbiu mpya kwa kuanzia Line ya nguo ambayo ina mvuto na taste ya Kiafrika kwa ajili ya kussuport juhudi za kupunguza umaskini kusini mwa Afrika.
Habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tumezoea kuona watu wa Boutique wanakwenda Asia kununua nguo
    kumbe hata huko zetu wanaweza kununua? Viwanda na Biashara fungueni njia kwa wazalendo sio mnakalia Seminar na Makongamano yasiyokwisha.
    Hongera Micky kwa kutupasha za huko

    ReplyDelete
  2. Ujinga gani huo yakhe!!!tangu lini hizi ni nguo zetu za kijadi?labda nyie wabeba maboksi mmezisahau jadi na mavazi yetu???

    ReplyDelete
  3. This is so cool. Designer wa bongo manaona mitindo hiyo. Simple but sure ehe. Hizo mkitengeneza bongo hata huku zitapata masoko sana tu hasa hasa ya huyo mwanamke.

    ReplyDelete
  4. Ipo siku tutajifunza ku appreciate vya kwetu. We unayeponda hizi nguo Hebu funga macho halafu kumbuka picha za zamani, Mwambie Michuzi aweke picha ambayo akina Sofia Kawawa, Bibi Titi Mohamed walikuwa wakicheza kujipongeza mwaka 60's uone!! Zamani kulikuwa na Min na Max.
    Ni mtazamo tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...