SALAMA MKUU?
NAOMBA TUSAIDIE KUWAKILISHA HAYA MAELEZO YETU.
JAMANI TUNAWAOMBA WATU WOTE WALIOSOMA OYSTERBAY PRIMARY SCHOOL TOKA ENZI ZA UKOLI MPAKA LEO HII, MJIUNGE NA OYSTERBAY PRIMARY SCHOOL GROUP ,KWA KUTUMA UJUMBE WA BARUA PEPE KWENYE ANUANI HII HAPO
ILI UJIUNGE NA GROUP.GROUP INAMIPANGO MINGI YA KUSAIDIA SHULE YETU PAMOJA NA KUPANGA REUNION, HII GROUP IMEANZISHWA NA WATU WALIOSOMA MIAKA YA 80 LAKINI PIA IKO WAZI KWA WATU WOTE WALIOSOMA HAPO. PIA UKIWA NA SWALI LOLOTE USISITE KUULIZA KWA KUTUMIA HIYO LINK HAPO JUU.
KARIBUNI SAANA !!!
JOHN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. baadhi tuko mbali kidogo hivyo hatutaweza kuhudhuria, ila tunatoa mchango wa kimawazao na tunaahidi kushirikiana nanyi kiakili na kiroho!!

    Peter (Class of 94)

    ReplyDelete
  2. Good idea John...
    gdt. '88

    ReplyDelete
  3. Hapo obay mambo kweli wengine wanaanzisha alumni club ya class ya 92 tu na hii sasa.

    lakini hii ni the best hii ya kuanzisha kila darasa club yao wala nilikua siielewi ina mpango gani.

    Tutajiunga na asante kwa mwaliko wako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...