safu ya unenguaji ya fm academia ni moto wa kuotea mbali. hii ni usiku wa kuamkia leo pale makumbusho.
hawa wazee wa ngwasuma wanatisha kwa pamba pia, hii haina ubishi
prezidaa nyoshi el sadaat na wana ngwasuma huleta raha ndani ya roho




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. michuzi tunaomba utuwekee picha ya hayati nico zengekala wa msondo ngoma, kwani sie vijana wa karibuni tunaujua umahiri wake wa nyimbo zake ila kamwe hatujawahi kuona sura yake. au kama kuna mdau mwenye picha yake tunaomba atuwekee tumuone.

    ReplyDelete
  2. Nina kaswali kadogo tu kaka..mpiga gitaa aliyekaa hapo chini kwenye ya juu kabisa anaonekana kama abdul ridhiwan wa msondo, kahamia ngwasuma?

    ReplyDelete
  3. Hao ndio wazee wa pamba wazee wa gwasuma fully presha, fully doze hawana mupinzani namba one.

    ReplyDelete
  4. Hao wanawake si walishakatazagwa kuvaa hizo nguo za ROBO UCHI?

    Hivi kwa nini siku hizi watu wanapenda sana kui bipu Serikali na hawaiogopi?

    Hivi sasa wakifungiwa watalalamika hao wakati walishaonywa!

    Khaa!

    ReplyDelete
  5. hamna lolote, mambo yote "Twanga" bwana!!!.
    Afu anonym.wa 11.50PM samahani, hizo nguo sio ROBO UCHI, bali ni ROBO TATU UCHI.Teh, teh heheeeeee, heaaaaa, hahahahaaaaa. Nani awafungie, wakati wadau wenyewe wa kuwapigia kelele hao ndo hao akina balozi wanashabikia, Ngwasuma ngwasuma, Joob true true.

    ReplyDelete
  6. HAPO NDO UKINIAMBIA BONGO TAMBARARE NAKUELEWA SIO VINGINEVYO.

    ReplyDelete
  7. FM ACADEMIA mko juu ila mnahitaji kukuna
    vichwa zaidi ili muendelee kuwa juu la sivyo mtaua bendi kwa kusubiria sifa kwa kazi zenu zilizopita.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...