Home
Unlabelled
wazee wa ngasuma wako juu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi tunaomba utuwekee picha ya hayati nico zengekala wa msondo ngoma, kwani sie vijana wa karibuni tunaujua umahiri wake wa nyimbo zake ila kamwe hatujawahi kuona sura yake. au kama kuna mdau mwenye picha yake tunaomba atuwekee tumuone.
ReplyDeleteNina kaswali kadogo tu kaka..mpiga gitaa aliyekaa hapo chini kwenye ya juu kabisa anaonekana kama abdul ridhiwan wa msondo, kahamia ngwasuma?
ReplyDeleteHao ndio wazee wa pamba wazee wa gwasuma fully presha, fully doze hawana mupinzani namba one.
ReplyDeleteHao wanawake si walishakatazagwa kuvaa hizo nguo za ROBO UCHI?
ReplyDeleteHivi kwa nini siku hizi watu wanapenda sana kui bipu Serikali na hawaiogopi?
Hivi sasa wakifungiwa watalalamika hao wakati walishaonywa!
Khaa!
hamna lolote, mambo yote "Twanga" bwana!!!.
ReplyDeleteAfu anonym.wa 11.50PM samahani, hizo nguo sio ROBO UCHI, bali ni ROBO TATU UCHI.Teh, teh heheeeeee, heaaaaa, hahahahaaaaa. Nani awafungie, wakati wadau wenyewe wa kuwapigia kelele hao ndo hao akina balozi wanashabikia, Ngwasuma ngwasuma, Joob true true.
HAPO NDO UKINIAMBIA BONGO TAMBARARE NAKUELEWA SIO VINGINEVYO.
ReplyDeleteFM ACADEMIA mko juu ila mnahitaji kukuna
ReplyDeletevichwa zaidi ili muendelee kuwa juu la sivyo mtaua bendi kwa kusubiria sifa kwa kazi zenu zilizopita.