wadau wenye kumbukumbu tupeni majina na mwaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Yanga Afrika, 1980 - 1982

    Kutoka kushoto kwenda kulia waliosimama: Charles Boniface "Mkwasa", Juma Shabban, Hamisi Kinye, Joseph Fungo, Ahmed Amasha "Computer", Suleiman Jongo,Isihaka Hassan "Chukwu"(Veteran kocha mchezaji wa Sugar Rays Sports Club), Saleh Hija (marehemu?)

    Waliochutama kushoto kwenda kulia: nahodha "General" Juma Mkambi, Athuman Juma "Chama", Charles Kilinda (kocha wa JKT Ruvu), Omar Hussein "Keggan", Issa Mohammed "Killer", Alan Shomari, Charles Alberto (marehemu), Rashid Hanzuruni

    ReplyDelete
  2. HI BRO MICHU...WENGI HAWAWAJUI HAWA WANANDINGA WAO WANAJUA AKINA TEGETE NA MGOSI ..EBU NGOJA SISI WAZEE WA KAZI TUKUTAJIE MAJINA YA HILI CHAMA LA YANGA INGAWA WENGINE HAWAONEKANI VIZURI

    WALIOKAA KUTOKA KUSHOT; JUMA MKAMBI JENERALI, ATHUMAN JUMA CHAMA JOGOO, EDGAR FONGO, OMAR HUSSEIN KEEGAN, RASHID IDD CHAMA, ALLAN SHOMARI, HAONEKANI, DOTO RUTA MOKILI FREEEZER

    WALIOSIMAMA TOKA KUSHOTO; CHARLES BONIFACE MKWASA MASTER, HAONEKANI, HAMIS KINYE, JOSEPH FUNGO, AHMAD AMASHA, HAONEKANI, HAONEKAN NA SALEH HIJA

    NDIMI MZEE WA LIVERPOOL CHAMA KUBWA LINALOONGOZA LIGI KAMA KAWA!!

    ReplyDelete
  3. HI BRO MICHU...WENGI HAWAWAJUI HAWA WANANDINGA WAO WANAJUA AKINA TEGETE NA MGOSI ..EBU NGOJA SISI WAZEE WA KAZI TUKUTAJIE MAJINA YA HILI CHAMA LA YANGA INGAWA WENGINE HAWAONEKANI VIZURI

    WALIOKAA KUTOKA KUSHOT; JUMA MKAMBI JENERALI, ATHUMAN JUMA CHAMA JOGOO, EDGAR FONGO, OMAR HUSSEIN KEEGAN, RASHID IDD CHAMA, ALLAN SHOMARI, HAONEKANI, DOTO RUTA MOKILI FREEEZER

    WALIOSIMAMA TOKA KUSHOTO; CHARLES BONIFACE MKWASA MASTER, HAONEKANI, HAMIS KINYE, JOSEPH FUNGO, AHMAD AMASHA, HAONEKANI, HAONEKAN NA SALEH HIJA

    NDIMI MZEE WA LIVERPOOL CHAMA KUBWA LINALOONGOZA LIGI KAMA KAWA!!

    ReplyDelete
  4. Napenda kumpongeza mchangiaji wa mwanzo kwa kuwataja majina kamili wachezaji hao, ila Saleh Hija yu hai, tafadhali sahihisha hilo.
    Marehemu katika picha hiyo ni Charles Albero tu.

    ReplyDelete
  5. Mliakuvana, Saleh Hija sio marehemu.

    ReplyDelete
  6. waungwana,mchangiaji wa kwanza kaweka alama ya kuuliza kwa ndani(marehemu?).nadhani kwa mtazamo wangu,yeye hana uhakika kamili kama yuko hai au la.but somehow still mchangiaji wa kwanza hukuwa na haja ya kuandika kwa kujiuliza waka ti huna uhakika.jina lake tu lingetosha kama ulivyofanya ktk majina mengine.
    kuhusu hiyo timu since nilikuwa mdogo,only i can remember ni kuiangalia sura Bro' tu arudipo toka Karume kama Yanga wakifungwa.hahaha maana unaogopa hata kuomba shilingi pesa ya kununulia karanga.hahaha

    ReplyDelete
  7. My bad, na ndio maana nikaweka question mark.

    Kwa mdu wa macapital letters hapo juu: Dotto Ruta Mokili alikuwepo Pan Africa wakati huu na Edigar Fongo bado alikuwa anacheza UMISETA. Wote walikuja changia sana Yanga Afrika baadaye.

    Ila Yanga ya sasa kama tukimtoa mComoro tunapambana na Al Ahly mapemaaaaa! Hii mnaionaje wapenzi wenzangu?

    ReplyDelete
  8. Kwa kuchangia tu, aliyepatia ni mdau wa kwanza juu japokuwa alikosea kusema Saleh Hija marehemu.
    Zee la Bandari- Leicester UK.

    ReplyDelete
  9. Kwa uhakika kabisa,Salehe Hijja"Maalim"ni marehemu na ametutangulia kwenye mahakama ya haki huko mbinguni na Mungu ampe mwanga wa milele
    Hijja alifariki mwanzoni tu mwa miaka ya 2000 kwa kusumbuliwa na maradhi ya tumbo,amezikwa huko kwao Kengeja Pemba njia ya kuelekea wawi kwenye makaburi ya serikali chini ya amri ya sheha wa sehemu hizo
    Kwa kuthamini mchango wake,serikali ya znz imeanzisha hadi kombe la "Salehe Hijja"ili kumuenzi kijana huyu mwana kabumbu wa kwnaza kuwa wa kulipwa ndani ya ardhi ya TZ hasa pale aliposajiliwa na Yanga lkn alikuwa anakuja Dar kufanya tu mazoezi jioni na kurudi znz kwa ndege maalum ya kukodi kila usiku ili kuwahi kazi yake ktk kitongoji cha Makunduchi uelekea wa chuo kikuu cha znz-Tunguu
    Hijja sasa ni hayati na anayekataa hilo hajafatilia vyema habari zake yu wapi mcheza kandanda huyu mahiri

    ReplyDelete
  10. Mchangiaji wa saa 12;37 kwa kweli umechanganya habari huyo unyemsema weye ni baba anaitwa Hija Saleh lakini kwenye picha ni mtoto anaitwa Salehe Hija ambaye ndiye alichezea Yanga miaka ya 80

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...