Home
Unlabelled
albino united ziarani tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HUU NI KTK UKATILI KUWAUA AU KUWAKATA VIUNGO HAWA NDUGU ZETU,KWAAJILI YA TAMAA ETI WATAKUWA MATAJIRI,
ReplyDeleteSUALA LA KUULAANI TU HALITOSHI KABISA,NILIONA KTK PROGRAMME MOJA SOUTH AFRICA PIA WANAUWA WATU AMBAO SIO MAALBINO KAMA TUNAVYOFANYA SISI KUUA MAALBINO,
WANAWAU WATU NA KUWAKATA VIUNGO AMBAVYO VINAAGIZWA NA WAGANGA WA KIENYEJI KUVIPELEKA ILI AVIANYIE KAZI,
KWA MUJIBU WA MUANDISHI WA HABARI ALIYE BAHATIKA KUMPATA MMOJA WA MGANGA WA KIENYEJI NI ALIPOMUULIZA NI KWANINI ANAKUWA ANAFANYA KUAGIZA APELEKEWE VIUNGO VYA MTU ILI AWEZE KUMPA MTU ZARI LA UTAJIRI,
ALIULIZWA SI ANAJUA UKIKATA KIUNGO CHA MTU ALIE HAI INASABABISH MAUMIVU MAKUBWA KWA YULE ANAEKATWA,
MGANGA ALIJIBU "KLA MTU ANAPOPIGA MAKELELE ZAIDI KWA AJILI YA MACHUNGU YA KUKATWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI AU NYINGINEZO HICHO KIUNGO KINKUWA NI BORA ZAIDI KUWA NA NGUVU ZA KUFANYA KAZI NA KUPATA ZAIDI MARA MOJA KILE MTU ANACHOKITAKA"
ALIPOULIZWA KAMA WEWE MTOTO WAKO UNAWEZA KUMKATA VIUNGO KIUNYAMA KAMA WANAVYOFANYIWA WATU AU WATOTO WA WENGINE ALIJIBU
"KAMA NI ONLY SOLUTION KUMKATA MTOTO WANGU BASI NITAFANYA HIVYO"
IKUMBUKWE HII TUMEIONA KTK TV HUKU EUROPER IKIONYESHA UNYAMA WA WAGANGA WA SOUTH AFRICA WANAVYOFANYA,
HAWA WANAOKATWA VIUNGO VYA SIRI KULE SOUTH AFRICA SI "MAALBINO"
NAOMBA HILI MULICHUKULIE SERIOUS WADAU, HUU UJANJA WA WAGANGA KARIBUNI PIA HAPO NCHINI UTAINGIA KTK SURA MPYA,
KWANI HIVI SASA NAAMINI WANAKUWA NA KAZI KUBWA YA KUWAKAMATA NA KUWAKATA KATA,
"NAAMINI KARIBUNI WAGANGA WATAANZA KUPELEKA MASHAMBULIZI YAO KWA WASIOKUWA MAALBINO, KAMA WANAVYOFANYA KULE SOUTH AFRICA"
UGANGA NI UONGO UNAOBUNIWA NA MTU AU WATU, KWAHIO KAMA HATUA HAZIKUCUKULIWA KUWAFICHUA NA KUWAKAMATA HAWA WAGANGA WENYEWE BASI KARIBUNI NYINYI MUNAOJIONA KUWA MUKO SAFE SIO MAALBINO MUTAANZA KUKATWAKATWA SEHEMU ZENU ZA SIRI NA ZINGINEZO,
MKUU MICHUZI, JITAYARISHE KUKATWA UZAZI WAKO WAKATI WOWOTE,NA WEWE MSOMAJI YOYOTE UNAESOMA KAMA UPO BONGO USIONE KUWA WEWE OPO SAFE SIO ALBINO JITAYARISHE KUKATWA UTUPU WAKO,KWANI SIO TU MAALBINO VIUNGO VYAO VINAFANYA KAZI KTK HAYO MAMBO YA KIJINGA, HATA VIUNGO VYAKO VIAFAA KAMA VILE VINAVYOFAA SOUTH AFRICA,
NAAMINI KILA SEHEMU WATU WANAWAJUA WAGANGA NIAKINA NANI, NA NAAMINI WAO NDIO WENYE HILI SANGA KULIKO MTU ANAEAGIZWAKUVILETA,
NAWAO NI ZAIDI YA HAO MAFISADI HAWA NDIO WA KUWAKAMATA ZAIDI,
KWANINI SERIKALI ISIWATUMIE WATU WANAOISHI KARIBU NA WAGANGA WA KIENYEJI WAKAWAKAMATA NA KUWAFIKISHA PALE PANAPOTAKIWA,
NAOMBA IANZISWE KWA MAKUSUDI KABISA "OPATARATION WAGANGA" KABLA YA WEWE MWENYEWE UTUPU WAKO HAUKUVAMIWA NA KUKATWA N WAPUMBAVU FULANI,
ENOUGH IS ENOUGH,
MDAU- GERMANY
Brother Misupu, ahsante kwa kutupa update za mapambano juu manyanyaso ya albino yanayoendelea na vita ambavyo serikali na jamii kwa ujumla wanavipigana katika kupinga unyanyasaji huo. Ushauri ni kwamba hiyo timu ya albino isije kwenda kucheza mechi kama hizo mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Kagera maana uwezekano wa kutekwa miongoni mwao ni mkubwa. Watu wabaya wanawatamani sana wanapowaona hivyo kwenye mikoa hiyo. Vinginevyo itabidi serikali iwape ulinzi mkali sana. Mimi ni mwenyeji wa huko na najua hali ilivyo mbaya.
ReplyDeleteMdau msukuma halisi wa Mwanza
Naomba kikosi cha Middle Age,majina yao.Kolongo yuko wapi,Twaha Akida,Hamad Mwanafunyo,Ngulungu,Lupatu?
ReplyDeletenalaani ukatili huo ila jamani hao albino united walioanikwa hapo juani,its not only ushirikina hata kansa ya ngozi itawaua.
ReplyDeletetafadhali mheshimiwa michuzi tunaomba majina ya hao wachezaji wa veterans. tanga kwa miaka mingi ilikuwa na wachezaji mashuhuri toka zile enzi za ubingwa wa tanganyika planting company {TPC} huko arusha chini. kama kuna wadau wanayajua majina yao wanaweza kuyatoa.
ReplyDeletewalio simama kutoka kushoto-dickson, abdalah zakwani,selemani mbaruku , mohamed vifaranga, ramadhani, simba, razaki yusufu, halid mohamed, ngasa, kasa Musa, vitalis na walio chuchumaana kutoka kushoto Tom, Lawi, Issa Lambo, Ramadhani salum, Katoto na Latifu.
ReplyDeletewalio uliziwa wapo, ila walikuwa bench kama yanga omari, Juma mgunda....bado soka furaha Tanga Veteran
Tunajulikana sana duaniani. mfano:
ReplyDeletehttp://www.msnbc.msn.com/id/21134540/vp=28721511�
SIPENDI KUWAONA ALBINO WAMEPANGWA KAMA WANAUZWA IVO,,,
ReplyDeleteYANI KAMA MTU/WATU WANATAFUTA NGO FULANI KUPITIA AWA NDUGU ZETU??
NOT FARE