MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YA KISUTU MCHANA HUU KUJIBU MASHTAKA MATATU YA KUTUMIA OFISI VIBAYA NA KUSABABISHA HASARA YA DOLA 153,077,715.71 (SAWA NA MADAFU KAMA 221,197,299,20.95 HIVI) KATIKA UJENZI WA ZIADA WA BENKI KUU (TWIN TOWERS).
WASHTAKIWA AMATUS JOACHIM LIYUMBA (NYUMA, SHATI LA BULUU) NA DEOGRATIUS DAWSON KWEKA, WAKIPELEKEWA MAHABUSU BAADA YA KUSOMEWA MASHTAKA YAO MCHA HUU KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YA KISUTU DAR.
Home
Unlabelled
BREKING NYUUUZZZZZZZZZZ.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Bado mamalao
ReplyDeleteBado wakubwa wa Uwanja wa Ndege wa Nyerere sasa tukitoka huko Tanesco.
ReplyDeleteHuo ni uonevu kwani walikuwa wapi? Nchi inamaliasili kibao mfisadi kibao lakini hakuna kinachoendelea.
ReplyDeletetunaanza kwenda sawa sasa
ReplyDeleteALUTA CONTINUA, ISIJE IKAWA LONGO LONGO TU.
ReplyDeleteDu!! hata EPA ni cha mtoto. Jamaa wamegawana USD 153,077,715 halafu tunamsumbua Rais kuwenda kutuombea misaada nje. Fedha tunazo tena za kutosha. Tatizo tunadekeza ufisadi kwa kile kinachoitwa 'rule of law', Watu kama hawa wanatakiwa kupigwa risasi hadharani ili kusafisha jamii na kuweka uadilifu. 'rule of law' baadaye, tukishawekana sawa.
ReplyDeleteMHESHIMIWA NAOMBA UPIGE MAHESABU UPYA, INAELEKEA HISABATI INAKOROFISHA KIDOGO.
ReplyDeleteHuyu si ndio yule bwana huko nyuma aiwahi kushtumiwa kuwanunulia wanawake wa Dar magari mekundu?
ReplyDeleteHuko BoT baado kazi nzito! Sio hao pekee. Wako maofisa wengi tu wanaishi kwenye mahekalu ya mamilioni Masaki, Mbezi, Obay na kwingineko!Wanaendesha magari ya kifahari, baba lake, mama lake, watoto na driver lao!!! Ukiiuliza eti ooh wamekopeshwa na BoT! Nani kawaambia BoT inaruhusiwa kukopesha fedha za walipa kodi ili watumishi wao waishi kama vile wako peponi wakati wadanganyika wanakufa kwa kukosa shs 500/- za kununulia wake zao gloves wakati wa kujifungua??!! Kwa niniwatumishi BoT waishi maisha ya juu kuliko sie wafanyakazi wengine wa Serikali? Kwani wao wanazalisha nini cha zaidi?? Fanyeni pia uchunguzi wa mali za wafanyakazi wengine wa BoT, mtajionea ya Firauni
ReplyDeleteHIO PESA ILOTUMIKA KUJENGA HILE MINAZI MIWILI HILINIMALIZA SANA.ALAFU WANATUPIGA MCHANGA WA MACHO KWAMBA HAWA NDIO WAMEHUSIKA KWENYE DILI? HA HA HA HA NAIPENDA NCHI YANGU LAKINI SIO SERIKALI YANGU.
ReplyDeletemda "cha mtu mavi"
SIKU HIZI KILA MTU NI HAKIMU.
ReplyDeleteItabidi tufungue mahakama binafsi ili tutoe ajira kwa wale mabingwa wa kutoa hukumu kabla ya kusikiliza kinachoendelea.
Anon wa January 27, 2009 5:57 PM bado una mawazo ya "enzi za mwalimu"
Lazima tuwe na mahali pa kuanzia katika kupambana na ufisadi uliokithiri kwa watumishi wa UMMA na PA kuanzia ndiyo hapa. Nadhani kasi na ari hii ikiendelezwa kwa kipindi kirefu, wananchi tutaanza kuwaelewa viongozi wetu watakapo tuambia uchumi wa nchi yetu umekua na siyo uchumi kukua mifukoni mwa wafanyakazi wezi tu. Kazeni buti katika kuwasafisha mafisadi kwani wapo wengi sana katika taasisi na ofisi za serikali. MUNGU awalinde na awape ujasiri wa kuifanya hii kazi kwa uadilifu ili isije kuwa ule msemo ''SAFARI MOJA HUANZISHA NYINGINE''
ReplyDeleteSIO HAWA,,NI SEHEMU NDOGO SANA,,
ReplyDeletewamechukua kiduchuuuu kwa "kupitisha mafaili"
ni basi tu tufanyeje tumeajiriwa yan ukiwa signatory ni ishu jamen..
wapo wenyewe humo.Sikizeni kesi ya KAGODA hahahahaaaa nacheka kwa hasira kali sana ktk hili.
Jehovah na ataingilia kati tuliomba sana na adi yule "mkubwa" wa mwisho atapohukumiwa
ndugu zetu wa kaskazini mwa tanzania hamkosekani katika kesi hizi;
ReplyDeletekina komu ,lema,kweka ,richmond,kiwira,wizara ya viwanda, fedha
MSHITAKIWA MWENYE TAI NI NDUGU NA TABU LEY?
ReplyDeleteNAOMBA JIBU?