

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona kuna mtu mkubwa mh EM na Bwana JB mtalaam wa kungfu, duh picha imenikumbusha wakati wa Mzumbe sekondari, Mirambo number mbili, ni mimi wako Mzee wa Usudusu
ReplyDeleteJB bado upo? this is one of the ladies wa kilakala enzi hizo Mzumbe- Kilakala. Bado unadai mzee JB!!!!
ReplyDeletePicha za rooms kama zipo
ReplyDeletepliiz.Naweza kuja na 'mzigo' wangu??(Joke)
huyo sio Lucy Koro?
ReplyDeleteMDAU WA BWENI NACHANGIA
ReplyDeleteWAKATI MAGABACHOLI YANAENDELEA KUFUNGUA MADUKA NA BIASHARA ZA MAANA SISI ANASA TU. MATOKEO YAKE TUNAKUA NA MITOTO UNDER AGE MILEVI NA WAZAZI WAO WANASHEHEREKEA NA UKIMWI KUONGEZEKA. TUJIFUNZE MILA NA DESTURI ZETU. HAYA MABO YA KIZUNGU TUWACHIE WENYEWE.
Ebwana huyo si Mashiba? Nadhani hapo ni maeneo ya SAE, Kaka Mashiba hongera sana nashukuru umetimiza ahadi yako nakumbuka ulikua unazungumzia hayo maboresho nikirudi toka ughaibuni break ya kwanza hapo, ila angalia wahudumu wa ajabu ajabu wasikuharibie kiota.
ReplyDeletenamwona mashiba pale AKA waziri wa starehe mzumbe na lawyer James B huyu alikuwa akikipiga(ndinga) sana pale mzumbe,wakuu naona mambo safi maana hamjabadilika sana na vitambi na vipara vimewasamehe mpaka sasa,tutawatembelea tukija huko nakila la kheri wakuu najua mtafanikiwa...mdau california!
ReplyDeleteComment yako ya magabacholi na biashara za maana, offcource walianza biashara tangu miaka mingi kwahiyo capital yao ni kubwa huwezi kuwalinganisha na wabongo ungewapa hongera kwa kujaribu especially mbeya, ni maendeleo hayo sio Dsm tu ndio kuwe kuna kila kitu "mimi sio mnyakyusa wala siwajui" nafikiri mtu anajikuna anapoweza kufungua biashara,anasa ziko kila mahali huwezi kuwa attack kwa hilo, kwasababu ulevi mtu anaji control mwenyewe na mazingira gani alio lelewa, watoto walevi under age sio responsible yao,wazazi wahusika wanapaswa kuwakanya na kutowapa watoto wao,kama uzinzi upo kila mahali binadamu wakipata nafasi kwenye miti ya mikahawa,karafuu,mikoroshoni,ufukweni,vijijini watu kibao wana ngoma huko ambako hakuna sanaa,na ukimwi ni ugonjwa kama magonjwa mengine,ukiniambia cancer nitakuelewa kwasababu mtu anajua atakufa tuu, na hakuna uzinduzi wowote wakumuokoa binadamu kama madawa ya ukimwi yalivyo piga hatua,mpaka sasa hivi wachache wenye ugonjwa wa cancer wana survive,labda kwasababu madawa ya ukimwi yanabaniwa bongo,ama watu wanafanya siri "tabuu kuongelea" wakipata ngoma kuogopa kuchekwa kwamba ni mhuni ama mzinzi,na labda akipewa dawa na kupata nafuu kidogo ana acha,hivyo kupunguza nguvu za dawa na kufanya zisifanye kazi kama zinavyotakiwa,na lishe vile vile inaweza kuwa tatizo,development ya dawa kwa nchi za europe na nyingine nyingi zinamfanya mtu kuishi mpaka siku yake aliyopangiwa kuondoka hapa duniani,ila inatakiwa ijulikane mapema kabila hujazohofika. Sorry nilienda out of topic kidogo kuelimishana,ndondondo si chururu siku moja hakutakuwa na tofauti kati ya gabacholi na mbongo kwasababu ukiangalia maendeleo yana kwenda mbele nchini kwetu,yes we can why not,kwahiyo usiwakatishe tamaa kwamba wao ndio wanasababisha, ungeniambia kufanya compain ya hayo matatizo ningekuwelewa point yako.
ReplyDelete