A Nissan Terrano, entered the country in 2005, it has been driven by a distinguished lady since then, well kept, in good working condition. The owner has bought another car that is why she is selling this one.

Interested and serious buyers please call:
0786 162416,
0784820808
or send an email to



Cheers



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Lazima itakuwa na matatizo kwani haiwezekani akaiuza faster hivyo kitu cha 2005. Mi nahisi litakuwa linakula wese vibaya sana.

    ReplyDelete
  2. Unajua huyu si muuzaji, anatakiwa kutuambia ni model ya mwaka gani?, 1990, au 1996. Then aseme limetembea kilomita ngapi mpaka sasa. Halafu aseme lilipoingia lilikuwa na kilomita ngapi, then aseme yeye anaishi wapi(mkoa gani)? kama Dar ni Yombo, Ukonga , Masaki, Mbezi au wapi(ili kujua lilikuwa linatumika sana barabara gani hasa) then amalizie na huo mwaka alioliingiza bongo. Kuna magari yanaingizwa bongo 2009 lakini ni ya 1990. Hapo ninaweza mtafuta kwa maelezo zaidi, lakini kwa style hii Mh! ngoja asubiri.

    ReplyDelete
  3. Wabongo majina ya magari mnayatoa wapi?This is Nissan Pathfinder.
    Mdau, Namtumbo, Songea.

    ReplyDelete
  4. mdau unayesema kuhusu kiwese au tatizo kuhusu gari...........labda tu kuwa kimombo kimekupiga chenga. Jamaa anasema gari hilo limeingia nchini 2005 na sio model ya 2005
    please read well and understand first rather than rushing to criticize..........jamii inashindwa kukuelewa!

    ReplyDelete
  5. jamaa kaacha contacts zake kibao hapo nadhani if there are any interested buyer will call him/her na sio kuoshwa vinywa tu hapa maana hatuna uwezo wa kununua labda.........ha ha ha.
    mwenye kusema hio ni pathfinder.....ni sawa lakini ajue hio ni version ya Terrano ya USA. ni kama Surf na 4runner........and many other Japanese cars.

    ReplyDelete
  6. anony wa 12.42 umenifurahisha kwa jinsi ulivyo chambua hii issue. Huyu bwana ni mpaka afanane nalo. Atamuuzia wa kuja. Hiyo ni ndoa katoliki haina talaka baba hiyoo!

    ReplyDelete
  7. Uteuzi wa lugha ya kutangazia unaashiria kuwa waliokusudiwa ni wale ambao kiinglish kinapanda - WASOMI! Kama kiinglish hakipandi, basi hili sio tangazo lilikolenga wewe. Bongo tanbarare!!!

    ReplyDelete
  8. we mdau wa Namtumbo huna akili kabisa. Umekalili tu kuwa kila gali ya Nissan yenye shepu hiyo ni Pathfinder. Hiyo ni Terrano; sema huzijuwi gari hizi maana huko Songea. Hata picha za gali zinaonyesha imeandikwa Terrano

    ReplyDelete
  9. weka bei! ndo longo nyingine zije! biashara bila bei hadharani kuna namna hapo

    ReplyDelete
  10. nyie hamna hela kama mnalitaka simpige simu muulize zaidi sio kujisheuwa hapa.mnaleta pozi za mbuzi kutingisha mkia wakati mkia mfupi.

    ReplyDelete
  11. Biashara za tanzania hovyoooooooo

    Nini maana ya kutangaza gari lako kama huweki maelezo yote. Yaani bado biashara za kitumwa tu.

    Je hujui value yake ni ngapi ahivyo unatafuta wa kumwingiza mjini? Blue book ziko kichwani kwa wengine. Ukiweka maelezo tu mtu anakwambia bei ya gari hilo kama liko kwenye fair, good au excellent condition.

    Kwanini watu hawaweki bei hadharani?Watu wataelimika lini?

    Weka mwaka wa gari, milage, specifications na asking price yako....sio blah blah blah and then call me......

    Bongo watu wanakuwa rip off kilaini sana. Lakini wengi wao roho haziwaumi hata wakiibiawa kimachomacho kwa vile most of them hela yao ni ya ufisadi. Ungekua unapiga box 12 hours a day usingewaza hata kujibu simu ya mtu aliyetangaza gari lake hivyo.

    ReplyDelete
  12. Dezzy Umeamua kuuza pathfinder yako?

    ReplyDelete
  13. Wabongo Bwana

    Kama mnataka details na mko serious si mumpigie....??????

    ReplyDelete
  14. HILI NGUDUNGUDU LAKO MWENYEWEE UNALO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...