


Interested and serious buyers please call:
0786 162416,
0784820808
or send an email to
Cheers
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lazima itakuwa na matatizo kwani haiwezekani akaiuza faster hivyo kitu cha 2005. Mi nahisi litakuwa linakula wese vibaya sana.
ReplyDeleteUnajua huyu si muuzaji, anatakiwa kutuambia ni model ya mwaka gani?, 1990, au 1996. Then aseme limetembea kilomita ngapi mpaka sasa. Halafu aseme lilipoingia lilikuwa na kilomita ngapi, then aseme yeye anaishi wapi(mkoa gani)? kama Dar ni Yombo, Ukonga , Masaki, Mbezi au wapi(ili kujua lilikuwa linatumika sana barabara gani hasa) then amalizie na huo mwaka alioliingiza bongo. Kuna magari yanaingizwa bongo 2009 lakini ni ya 1990. Hapo ninaweza mtafuta kwa maelezo zaidi, lakini kwa style hii Mh! ngoja asubiri.
ReplyDeleteWabongo majina ya magari mnayatoa wapi?This is Nissan Pathfinder.
ReplyDeleteMdau, Namtumbo, Songea.
mdau unayesema kuhusu kiwese au tatizo kuhusu gari...........labda tu kuwa kimombo kimekupiga chenga. Jamaa anasema gari hilo limeingia nchini 2005 na sio model ya 2005
ReplyDeleteplease read well and understand first rather than rushing to criticize..........jamii inashindwa kukuelewa!
jamaa kaacha contacts zake kibao hapo nadhani if there are any interested buyer will call him/her na sio kuoshwa vinywa tu hapa maana hatuna uwezo wa kununua labda.........ha ha ha.
ReplyDeletemwenye kusema hio ni pathfinder.....ni sawa lakini ajue hio ni version ya Terrano ya USA. ni kama Surf na 4runner........and many other Japanese cars.
anony wa 12.42 umenifurahisha kwa jinsi ulivyo chambua hii issue. Huyu bwana ni mpaka afanane nalo. Atamuuzia wa kuja. Hiyo ni ndoa katoliki haina talaka baba hiyoo!
ReplyDeleteUteuzi wa lugha ya kutangazia unaashiria kuwa waliokusudiwa ni wale ambao kiinglish kinapanda - WASOMI! Kama kiinglish hakipandi, basi hili sio tangazo lilikolenga wewe. Bongo tanbarare!!!
ReplyDeletewe mdau wa Namtumbo huna akili kabisa. Umekalili tu kuwa kila gali ya Nissan yenye shepu hiyo ni Pathfinder. Hiyo ni Terrano; sema huzijuwi gari hizi maana huko Songea. Hata picha za gali zinaonyesha imeandikwa Terrano
ReplyDeleteweka bei! ndo longo nyingine zije! biashara bila bei hadharani kuna namna hapo
ReplyDeletenyie hamna hela kama mnalitaka simpige simu muulize zaidi sio kujisheuwa hapa.mnaleta pozi za mbuzi kutingisha mkia wakati mkia mfupi.
ReplyDeleteBiashara za tanzania hovyoooooooo
ReplyDeleteNini maana ya kutangaza gari lako kama huweki maelezo yote. Yaani bado biashara za kitumwa tu.
Je hujui value yake ni ngapi ahivyo unatafuta wa kumwingiza mjini? Blue book ziko kichwani kwa wengine. Ukiweka maelezo tu mtu anakwambia bei ya gari hilo kama liko kwenye fair, good au excellent condition.
Kwanini watu hawaweki bei hadharani?Watu wataelimika lini?
Weka mwaka wa gari, milage, specifications na asking price yako....sio blah blah blah and then call me......
Bongo watu wanakuwa rip off kilaini sana. Lakini wengi wao roho haziwaumi hata wakiibiawa kimachomacho kwa vile most of them hela yao ni ya ufisadi. Ungekua unapiga box 12 hours a day usingewaza hata kujibu simu ya mtu aliyetangaza gari lake hivyo.
Dezzy Umeamua kuuza pathfinder yako?
ReplyDeleteWabongo Bwana
ReplyDeleteKama mnataka details na mko serious si mumpigie....??????
HILI NGUDUNGUDU LAKO MWENYEWEE UNALO
ReplyDelete