Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Augustino Ramadhani akimkabidhi hati ya uteuzi Mh. William Mutaki Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoa wa Singida katika sherehe za makabidhiano hayo leo katika ukumbi wa Mahakama ya Rufani Tanzania, jijini Dar
Mbunge wa Moshi mjini Mh. Philemon Ndesamburo akiwa na mai dota wake Mh. Happines Ndesamburo nje ya ukumbi wa Mahakama ya Rufani jijini Dar leo mara baada ya kuapishwa kuwa Kaimu Naibu Msajili wa Kitengo cha Biashara Mahakama kuu kanda ya Arusha.

Jaji Mkuu wa Tanzania Agustino Ramadhan (mstari wa mbele katikati) katika picha ya pamoja na maofisa wa mahakama (waliosimama mstari wa nyuma) mara baada ya sherehe fupi ya kuwaapisha kushika nyadhifa mbalimbali leo jijini Dar.


KWA PICHA ZAIDI


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hongera sana sana mdogo wangu Happy. Nimefurahi kuona mdogo wangu unasonga mbele fasta fasta!! Mungu akubariki na akujalie haja ya moyo wako!!

    Dada yako Bella (former Msalato Girls - remember MSAZENGO)

    ReplyDelete
  2. Happy am proud of you dada, Hongera unajua unafanya nini. Mungu akuzidishie nguvu.

    ReplyDelete
  3. Mzee pesa nyingi hadi anapunguzia kwenye siasa lakini Happy umejua unahitaji nini katika maisha yako. Hongera sana sana na mimi nasema bado utazidi kusonga mbele tu. Kila la kheri

    ReplyDelete
  4. Hapo Ndesamburo anasema hongera sana binti yangu loh! Naomba usiwe fisadi nitakuchoma bungeni si unanijua

    ReplyDelete
  5. Dada Happy HONGERA SANA SANA... ninakumbuka nondo za maisha ulizokuwa unatupa tukiwa tunasoma uingereza... kwa kweli unajua kupigania maisha HONGERA SANA...
    Nakutakia kila la HERI katika ulimwengu huu wa mahangaiko...

    Ni rafiki wa wadogo zako (Nima & Flo)

    ReplyDelete
  6. ingekuwa ni mtoto wa kigogo wa ccm tungesema wamepeana. lakini sababu ni wa upinzani, kimyaaaa...

    ReplyDelete
  7. Bravo dada Happy. Ndani ya miaka miwili ijayo tayari wewe ni jaji. Hongera sana na keep it up!
    Mdau

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Happy!! toka unasoma hukuwa na maringo, ulikuwa unajichanganya na watoto wa lalahoi na kichwani akili zilikuwepo. Tabia yako nzuri ndiyo iliyokufikisha hapo ulipo. Siku si nyingi tutasikia umekuwa Mhe. Jaji!!! Mungu akulinde mdogo wangu. (Ex Msalato Girls Moringe house)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...