Home
Unlabelled
kambarage na janet wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ongeleni sana sana,kwani mmependeza ile bab k.Ila tu, katika ndoa yenu mkumbuke neno upendo na uvumilivu.
ReplyDeleteMdau kutoka canada
Cute!
ReplyDeleteI love the newly wed '' We are married smile''
So cute!!!
Hongera kijana wa Tyson kwa kujitwalia kimwana. Umepata mke wa kufanana nawe. Hongera sana
ReplyDeleteMdau
Wow kamby!!!! you did it man !!!! Congratulations. I wish you all the best dear.
ReplyDeleteLinda
Homeboy, you did it! I am so happy for you and Janet, I wish you all the good things in your marriage. Holla at yo boy,
ReplyDeleteMissango.
Home boy!! Sorry I couldn't make it..but I'm sure all went well!! It was nice talking to you, regards to Janet! Welcome to the club!
ReplyDeleteI am speechless wamepedeza sana.
ReplyDeleteNa huyo mke mama yangu....ulimpata wapi...... Pretty lady.....You are a very lucky man and treat her well.
Congrats
Heh janet,hongera sana rafiki yangu.Nakutakia maisha mema ktk ndoa yako.you look wow!
ReplyDeletemdau toka ukerewe.
Hongera Julius Kambarage Wasira! Bado Steve sasa!
ReplyDeleteTAKATAKA MAMBOO?
ReplyDeleteHakika kwa tukio hilo, wote mwapaswa kupongezwa, Kambarage umependeza sana, na umepata pambo (mke mzuri)kweli kweli, nawatakia kila la heri na furaha hiyo inayochanua kwenye vipaji vya sura zenu na idumu hadi ndani ya mioyo yenu na nyumba yenu milele na milele na Mungu awajaalie baraka zake tele,Amen!
"Taka taka"
{Rafiki yako wa zamani sana, Mikocheni B}
Wamependeza sana tu na ninawatakia maisha mema pamoja.
ReplyDeletemmependeza maharusi.
ReplyDeleteNamtafuta Janeth Wasira.
Call no. 614 483 7360
this is banyamulenge, U know who sis...
Kamby,
ReplyDeleteI am really happy for you bro. Sorry I could't be there. You two look amazing. You take good care of my wifi.
Janeth
Did I actually mention how pretty my newest sis in law is? She is drop dead gorgeous. She is a great addition to our family.
ReplyDeleteJaneth
julius kambarage??????sio nyerere ni wasira???mmmh
ReplyDeleteMasatu vipi? Hongera Ndugu yako hapa wa tangu enzi za kiunga.
ReplyDeleteKamby, I wishes you best wishes for the future, and looks forward to seeing you two together and loving life better than ever!!!!!
ReplyDeleteMmm Kambarage hongera!! Sisi dada zako wa Tarime tutakumiss kweli hasa baada ya kuamua kuhamia Moshi. Au vita vya Wanyanchoki na Wanyanchari vilikutisha ukamua wote utuache. Mbona vita na mapigano ndiyo asili yetu?? Karibu kwa mke wa pili maana sio kawaida kwa Mkurya kuwa na mke mmoja.
ReplyDeleteNi sisi dada zako wa Tarime
hey Janeth,hongera sana na umependeza sana u look like princess.kila la kheri na mungu awabariki ktk ndoa yenu,kikubwa uvumilivu na masikilizano
ReplyDeleteI'm really happy you buddy, hakika chaguo hili ni la uhakika. She is so beautiful in deed. Nawatakia maisha mema.
ReplyDeleteMI NAMTAFUTA NEEMA WASIRA!
ReplyDeleteHongereni sana sana ila nakushauri Janet uache uvivu wako na kisirani usije ukapata wasaidizi bureeeeeeeeeeee! Utanikumbuka. Ndoa shughuli ndugu yangu
ReplyDeleteKamby hongera sana. Mzee hapo umecheza kama enzi zako za kuuza (mawe)madini Azania
ReplyDeletePoa......cha muhimu ni kutoka kimaisha na wala sio watu wakuone umependeza wakati ndani walala njaa kali.Poleni sana.
ReplyDeletebeauty & the beast,,,,
ReplyDeletesooo lovely and romantic yani
michu aya na hii bana sasa khaaa unankera weye!!!
Hongera sana babu, you guys looks good and i wish you all the best in the new chapter of life. sorry i wasnt there but i was there in my heart, my God bless you marrage.
ReplyDeleteLove you all
Webiro J
Anonymous said...
ReplyDeleteMI NAMTAFUTA NEEMA WASIRA!
January 19, 2009 9:09 AM
_____________________________
mimi ni neema wasira, unasemaje
Anony January 19, 2009 11:57 AM wa inaonekana unamfahamu Janet kwa kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaribu. Na umejawa wivu................ Nawezakukisia ni kwa nini.
ReplyDeleteLami plus Maziwa jawabu lake ni Asali!!! Tehe tehe!!!!
ReplyDeleteHahahahaaa!! Wapi Moa?? Duh! Siku hizi watu kufungia vicheche ndio fasheni au wanataka nightmares wakale wapi?? Hahahahahaaaaaa!! Wapi Miss!!! Watu kuingia choo cha kike imekuwa kawaida tena siku hizi. Alafu mnavyojua kulenga mambwiko!! Dada zetu bwana! Mmepima?? Karibuni ukerewe!
ReplyDeletewadau kumradhini kidogo naomba kuuliza huyu jamaa ni mtoto wa nyerere?maana nilijaribu kufananisha sura lakini naona haifanani naomba jibu
ReplyDeleteKamby whats homes? Mpili aliniambia tumepishana bongo kidogo.This is beautiful and righteous bro. I am very proud of you homeboy. Just remember "communication discourages vexation"
ReplyDeleteA friend for life
Chuma
hamisijc@yahoo.com
1 comment only...uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia......umeula wa chuya.
ReplyDeleteHongera sana Kamby and Janet, May God bless your marriage.
ReplyDeleteMeg.
wanangu hongera sana mlipendeza sana. mwenyezi mungu abariki nyumba yenu.
ReplyDeletemama mkubwa wa morogoro.