mdau kambarage julius wassira akiwa na mai waifu wake janet strato shayo baada ya kumeremeta leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 35 mpaka sasa

  1. Ongeleni sana sana,kwani mmependeza ile bab k.Ila tu, katika ndoa yenu mkumbuke neno upendo na uvumilivu.

    Mdau kutoka canada

    ReplyDelete
  2. Cute!
    I love the newly wed '' We are married smile''
    So cute!!!

    ReplyDelete
  3. Hongera kijana wa Tyson kwa kujitwalia kimwana. Umepata mke wa kufanana nawe. Hongera sana
    Mdau

    ReplyDelete
  4. Wow kamby!!!! you did it man !!!! Congratulations. I wish you all the best dear.

    Linda

    ReplyDelete
  5. Homeboy, you did it! I am so happy for you and Janet, I wish you all the good things in your marriage. Holla at yo boy,

    Missango.

    ReplyDelete
  6. Home boy!! Sorry I couldn't make it..but I'm sure all went well!! It was nice talking to you, regards to Janet! Welcome to the club!

    ReplyDelete
  7. I am speechless wamepedeza sana.

    Na huyo mke mama yangu....ulimpata wapi...... Pretty lady.....You are a very lucky man and treat her well.

    Congrats

    ReplyDelete
  8. Heh janet,hongera sana rafiki yangu.Nakutakia maisha mema ktk ndoa yako.you look wow!
    mdau toka ukerewe.

    ReplyDelete
  9. Hongera Julius Kambarage Wasira! Bado Steve sasa!

    ReplyDelete
  10. TAKATAKA MAMBOO?
    Hakika kwa tukio hilo, wote mwapaswa kupongezwa, Kambarage umependeza sana, na umepata pambo (mke mzuri)kweli kweli, nawatakia kila la heri na furaha hiyo inayochanua kwenye vipaji vya sura zenu na idumu hadi ndani ya mioyo yenu na nyumba yenu milele na milele na Mungu awajaalie baraka zake tele,Amen!

    "Taka taka"
    {Rafiki yako wa zamani sana, Mikocheni B}

    ReplyDelete
  11. Wamependeza sana tu na ninawatakia maisha mema pamoja.

    ReplyDelete
  12. mmependeza maharusi.

    Namtafuta Janeth Wasira.
    Call no. 614 483 7360
    this is banyamulenge, U know who sis...

    ReplyDelete
  13. Kamby,

    I am really happy for you bro. Sorry I could't be there. You two look amazing. You take good care of my wifi.

    Janeth

    ReplyDelete
  14. Did I actually mention how pretty my newest sis in law is? She is drop dead gorgeous. She is a great addition to our family.

    Janeth

    ReplyDelete
  15. julius kambarage??????sio nyerere ni wasira???mmmh

    ReplyDelete
  16. Masatu vipi? Hongera Ndugu yako hapa wa tangu enzi za kiunga.

    ReplyDelete
  17. Kamby, I wishes you best wishes for the future, and looks forward to seeing you two together and loving life better than ever!!!!!

    ReplyDelete
  18. Mmm Kambarage hongera!! Sisi dada zako wa Tarime tutakumiss kweli hasa baada ya kuamua kuhamia Moshi. Au vita vya Wanyanchoki na Wanyanchari vilikutisha ukamua wote utuache. Mbona vita na mapigano ndiyo asili yetu?? Karibu kwa mke wa pili maana sio kawaida kwa Mkurya kuwa na mke mmoja.
    Ni sisi dada zako wa Tarime

    ReplyDelete
  19. hey Janeth,hongera sana na umependeza sana u look like princess.kila la kheri na mungu awabariki ktk ndoa yenu,kikubwa uvumilivu na masikilizano

    ReplyDelete
  20. I'm really happy you buddy, hakika chaguo hili ni la uhakika. She is so beautiful in deed. Nawatakia maisha mema.

    ReplyDelete
  21. MI NAMTAFUTA NEEMA WASIRA!

    ReplyDelete
  22. Hongereni sana sana ila nakushauri Janet uache uvivu wako na kisirani usije ukapata wasaidizi bureeeeeeeeeeee! Utanikumbuka. Ndoa shughuli ndugu yangu

    ReplyDelete
  23. Kamby hongera sana. Mzee hapo umecheza kama enzi zako za kuuza (mawe)madini Azania

    ReplyDelete
  24. Poa......cha muhimu ni kutoka kimaisha na wala sio watu wakuone umependeza wakati ndani walala njaa kali.Poleni sana.

    ReplyDelete
  25. beauty & the beast,,,,

    sooo lovely and romantic yani

    michu aya na hii bana sasa khaaa unankera weye!!!

    ReplyDelete
  26. Hongera sana babu, you guys looks good and i wish you all the best in the new chapter of life. sorry i wasnt there but i was there in my heart, my God bless you marrage.

    Love you all

    Webiro J

    ReplyDelete
  27. Anonymous said...
    MI NAMTAFUTA NEEMA WASIRA!

    January 19, 2009 9:09 AM
    _____________________________

    mimi ni neema wasira, unasemaje

    ReplyDelete
  28. Anony January 19, 2009 11:57 AM wa inaonekana unamfahamu Janet kwa kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaribu. Na umejawa wivu................ Nawezakukisia ni kwa nini.

    ReplyDelete
  29. Lami plus Maziwa jawabu lake ni Asali!!! Tehe tehe!!!!

    ReplyDelete
  30. Hahahahaaa!! Wapi Moa?? Duh! Siku hizi watu kufungia vicheche ndio fasheni au wanataka nightmares wakale wapi?? Hahahahahaaaaaa!! Wapi Miss!!! Watu kuingia choo cha kike imekuwa kawaida tena siku hizi. Alafu mnavyojua kulenga mambwiko!! Dada zetu bwana! Mmepima?? Karibuni ukerewe!

    ReplyDelete
  31. wadau kumradhini kidogo naomba kuuliza huyu jamaa ni mtoto wa nyerere?maana nilijaribu kufananisha sura lakini naona haifanani naomba jibu

    ReplyDelete
  32. Kamby whats homes? Mpili aliniambia tumepishana bongo kidogo.This is beautiful and righteous bro. I am very proud of you homeboy. Just remember "communication discourages vexation"
    A friend for life
    Chuma
    hamisijc@yahoo.com

    ReplyDelete
  33. 1 comment only...uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia......umeula wa chuya.

    ReplyDelete
  34. Hongera sana Kamby and Janet, May God bless your marriage.
    Meg.

    ReplyDelete
  35. wanangu hongera sana mlipendeza sana. mwenyezi mungu abariki nyumba yenu.

    mama mkubwa wa morogoro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...