mdau young wa fotobaraza kanikosha kwa taswira hii.
nenda:
uipate hii na mambo mengine kibao.
hongera fotobaraza kwa kuendeleza libeneke
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HAWA MAFUNDI HAWAJIPENDI, HUYO JAMAA AKIEGEMEA TU HUO MTI AMEKWISHA!!

    ReplyDelete
  2. duh!usalama zero hapo

    ReplyDelete
  3. ....halafu ukifa utasema kifo chako kilipangwa na mungu...idiot.

    ReplyDelete
  4. Hapo jamaa anam-beep Israili...mwee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...