MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA ,DAIMA ATAKUMBUKWA NA WADAU WA HAPA ITALY NA SEHEMU ZOTE ANAZOFAHAMIKA. AMIN!!
Pichani watanzania wakiwa katika dua ya pamoja iliyoongozwa na Sheikh Maulid Bin Rajab ambaye ni sheikh wa jumuiya ya Watanzania Italy aliyeongozana na viongozi na wajumbe wa Tawi la jumuiya ya watanzania kutoka MODENA. Mwili wa marehemu utaondoka Rome siku ya jumanne tarehe 13/1/2009 kupitia Amsterdam kwa ndege ya shirika la KLM, na unatarajiwa kuwasili nyumbani Dar kwa mazishi siku ya jumatano 14/01/2009 saa 22:40. na ndege ya shirika la KLM namba 569.
(KWA PICHA NA HABARI ZAIDI: http://www.tnzncommunity.blogspot.com
Mwenyezi Mungu iweke roho ya marehemu pahala pema peponi.Poleni sana ndugu,jamaa na marafiki wote wa marehemu.
ReplyDeleteJAX
poleni sana ndugu na jamaa wa marehemu sisi watanga wa hapa cape town south africa tumesikitika sana kutokea kwa msiba huu tunatoa rambi rambi kwa watu wote wanaohusika na msiba huu hasa kule nyumbani tanga hakuna kijana yeyote msafiri asiye mfahamu huyu Pama na yeye amewezesha vijana wengi kusafiri nchi za nje kutafuta maisha kwa njia moja au nyingine tunaungana na watu wote kwa msiba huu mkubwa sana poleni jamaaa wote mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, AMIN
ReplyDelete