Michu pole na libeneke,
Kaswali ka kizushi Matokeo ya liverpool na Everton bado hayajatoka?
Mdau Paul

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. wewe unaetaka matokeo yatoke kivipi? mpira umekwisha jana bado unangoja matokeo? si upo mbele ya pc kwa nini huangalii kwenye internet?

    Michuzi na jamaa zake wa bwawa la maini hawasemi kitu mambo yanapowaendea kombo. Hawa wote tunawajuwa ni wapenzi wa misimu tu. kukiwa na mavuno baso wako mbele mbele kukiingia ukame huwaoni kabisa!!!!

    ReplyDelete
  2. Matokeo bado.Umeme ulikatika.Tunangojea urudi ili mechi iendelee.Baada ya mechi nadhani tutapata msimamo wa ligi ulivyo.Taniboi aliendesha basi kwa muda mrefu sasa dereva kashika usukani Michuzi hapendi.

    ReplyDelete
  3. Naona jamaa wa kwanza anaJAZBA ile mbaya, sasa mwenzio si anauliza matokeo tu jamani! Eeeeeeeeeeh sasa MWENYEKITI KAKALIA KITI CHAKE, Asante sana TIM CAHILL

    ReplyDelete
  4. If U hate Liverpool CLAP UR TUMBO, bu bu bu!, If U hate Liverpool EATING SUGAR mwa mwa mwa! Benitez presha inapanda, presha inashuka!

    Kibajaj hapa!

    ReplyDelete
  5. Yule Gerald mutamuwa bure anajaribu kuwaletea raha lkn ndio kama hivyo sikio la kufa halisikii dawa....dah hamukawii kusema mbelekeko sasa mufanyweje na hamuna muwezalo?

    ReplyDelete
  6. KWA SASA MHESHIMIWA ANAFUATILIA MAMBO YA OBAMA USA, AKIMALIZA NAJUA ATATUJULISHA NA YA LIVERPOOL, LABDA KAPITIWA KIDOGO, SI WAJUA TENA!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Mh uwii makubwa...

    Kwani brother Michu na nyie wengine wa bwa la maini mlikuwa mnategemea nini hasaaa jana?du ndio hivyo sio kila siku jumapili.1-1 habari ndio hiyo jina dogo Everton poleni sana watu wazima.Kaka michuzi ungetuwekea basi hata picha ya bao maana wengine jana umeme ulikukatwa na Tanesco..ni kweli kabisa hata nyie mashabiki inaelekea kwa sasa presha inapanda ,presha inshuuuuuka...Dada Tebby

    ReplyDelete
  8. Mh uwii makubwa...

    Kwani brother Michu na nyie wengine wa bwa la maini mlikuwa mnategemea nini hasaaa jana?du ndio hivyo sio kila siku jumapili.1-1 habari ndio hiyo jina dogo Everton poleni sana watu wazima.Kaka michuzi ungetuwekea basi hata picha ya bao maana wengine jana umeme ulikukatwa na Tanesco..ni kweli kabisa hata nyie mashabiki inaelekea kwa sasa presha inapanda ,presha inshuuuuuka...Dada Tebby

    ReplyDelete
  9. walisema kipofu kaona mwezi nakweli ndio kwanza unatoka kama kawaida bwawa la maini ni kama baskeli ya barafu kiyangazi kikifika basi nikuyayuka tu.
    tende man u
    mdau ban2

    ReplyDelete
  10. jamaa wa kwanza mimi nimemfahamu kisawa sawa, mechi imechezwa jana, mtu anakuja leo kuuliza kama matokeo hayajatoka, anataka yatoke wapi? kiswahili ni kigumu wakati mwengine. Nani atowe matokeo? mechi ilipokwisha ndio matokeo yamepatikana sasa mtu anataka yatolewe kama matokeo ya mtihani au test za magonjwa? tena mtu anauliza ilhali amekaa mbele ya pc kwa nini hafany search akaona matokeo?

    ReplyDelete
  11. Hee heee hee!!! Wewe anonymous wa 2:56 umenikosha kweli!!!!Liverpool inawabonyeza bonnyeee.....kiulaiiniii.....

    ReplyDelete
  12. wale watoto waliotupiga kwao leo wamepotea njia wamepita mtaa wa old trafod dah ilibidi polisi waingilie kati

    ReplyDelete
  13. mbona hammalizii Evaton haina striker hata mmja wote majeruhi. wangekuwa wamekamilika?? sijui. nasema kwa heri tuonane may

    ReplyDelete
  14. michuzi bandika matokeo ayo ata kama yashapita,,,bwawa la maini mbona unaweka???
    ata kama uko vekesheni ya USA,ulienda na fulanazzzzz???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...