Michu pole na libeneke,
Kaswali ka kizushi Matokeo ya liverpool na Everton bado hayajatoka?
Mdau Paul
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wewe unaetaka matokeo yatoke kivipi? mpira umekwisha jana bado unangoja matokeo? si upo mbele ya pc kwa nini huangalii kwenye internet?
ReplyDeleteMichuzi na jamaa zake wa bwawa la maini hawasemi kitu mambo yanapowaendea kombo. Hawa wote tunawajuwa ni wapenzi wa misimu tu. kukiwa na mavuno baso wako mbele mbele kukiingia ukame huwaoni kabisa!!!!
Matokeo bado.Umeme ulikatika.Tunangojea urudi ili mechi iendelee.Baada ya mechi nadhani tutapata msimamo wa ligi ulivyo.Taniboi aliendesha basi kwa muda mrefu sasa dereva kashika usukani Michuzi hapendi.
ReplyDeleteNaona jamaa wa kwanza anaJAZBA ile mbaya, sasa mwenzio si anauliza matokeo tu jamani! Eeeeeeeeeeh sasa MWENYEKITI KAKALIA KITI CHAKE, Asante sana TIM CAHILL
ReplyDeleteIf U hate Liverpool CLAP UR TUMBO, bu bu bu!, If U hate Liverpool EATING SUGAR mwa mwa mwa! Benitez presha inapanda, presha inashuka!
ReplyDeleteKibajaj hapa!
Yule Gerald mutamuwa bure anajaribu kuwaletea raha lkn ndio kama hivyo sikio la kufa halisikii dawa....dah hamukawii kusema mbelekeko sasa mufanyweje na hamuna muwezalo?
ReplyDeleteKWA SASA MHESHIMIWA ANAFUATILIA MAMBO YA OBAMA USA, AKIMALIZA NAJUA ATATUJULISHA NA YA LIVERPOOL, LABDA KAPITIWA KIDOGO, SI WAJUA TENA!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMh uwii makubwa...
ReplyDeleteKwani brother Michu na nyie wengine wa bwa la maini mlikuwa mnategemea nini hasaaa jana?du ndio hivyo sio kila siku jumapili.1-1 habari ndio hiyo jina dogo Everton poleni sana watu wazima.Kaka michuzi ungetuwekea basi hata picha ya bao maana wengine jana umeme ulikukatwa na Tanesco..ni kweli kabisa hata nyie mashabiki inaelekea kwa sasa presha inapanda ,presha inshuuuuuka...Dada Tebby
Mh uwii makubwa...
ReplyDeleteKwani brother Michu na nyie wengine wa bwa la maini mlikuwa mnategemea nini hasaaa jana?du ndio hivyo sio kila siku jumapili.1-1 habari ndio hiyo jina dogo Everton poleni sana watu wazima.Kaka michuzi ungetuwekea basi hata picha ya bao maana wengine jana umeme ulikukatwa na Tanesco..ni kweli kabisa hata nyie mashabiki inaelekea kwa sasa presha inapanda ,presha inshuuuuuka...Dada Tebby
walisema kipofu kaona mwezi nakweli ndio kwanza unatoka kama kawaida bwawa la maini ni kama baskeli ya barafu kiyangazi kikifika basi nikuyayuka tu.
ReplyDeletetende man u
mdau ban2
jamaa wa kwanza mimi nimemfahamu kisawa sawa, mechi imechezwa jana, mtu anakuja leo kuuliza kama matokeo hayajatoka, anataka yatoke wapi? kiswahili ni kigumu wakati mwengine. Nani atowe matokeo? mechi ilipokwisha ndio matokeo yamepatikana sasa mtu anataka yatolewe kama matokeo ya mtihani au test za magonjwa? tena mtu anauliza ilhali amekaa mbele ya pc kwa nini hafany search akaona matokeo?
ReplyDeleteHee heee hee!!! Wewe anonymous wa 2:56 umenikosha kweli!!!!Liverpool inawabonyeza bonnyeee.....kiulaiiniii.....
ReplyDeletewale watoto waliotupiga kwao leo wamepotea njia wamepita mtaa wa old trafod dah ilibidi polisi waingilie kati
ReplyDeletembona hammalizii Evaton haina striker hata mmja wote majeruhi. wangekuwa wamekamilika?? sijui. nasema kwa heri tuonane may
ReplyDeletemichuzi bandika matokeo ayo ata kama yashapita,,,bwawa la maini mbona unaweka???
ReplyDeleteata kama uko vekesheni ya USA,ulienda na fulanazzzzz???