WAPENDWA !!
TUNAPENDA KUWAKARIBISHA TENA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU ITAKAYOHUDUMIWA NA MTUMISHI WA MUNGU CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA.
TAREHE: MAY 21-24 2009.[MEMORIAL WEEK-END]
MAHALI:UNITED STATES OF AMERICA [USA].
KRYSTAAL BAND FROM CANADA WILL LEAD PRAISE & WORSHIP.....!!
WOTE MNAKARIBISHWA


We mtoa tangazo-unasumbua akili kweli!!! eti" Wapi: United States of America" maana yake nini? USA ni kubwa- umeona uviiivu wa kuainisha ni mahala gani USA mchungaji huyu atakapokuwa??- au unataka tu kumiminiwa email ili uulizwe ni wapi??
ReplyDeleteTafadhali eleza kinagaubaga ni state gani na mji gani hapa USA?
ReplyDeleteannon wa kwanza sawa kabisa
ReplyDeletenina wasiwasi na imani yake kwanza
huwezi weka jambo la maana kama hili tena unakaribisha watu wasikie Neno afu unasema "mahali USA" wapi sasa!!watu wengine mnakera nyie??ukulipitia tangazo before?kama mlikua hamjui ukumbi bado mngetulia na tangazo lenu adi mjipange
aaagh!!!
TUNAKARIBISHWA WAPI?
ReplyDeleteYeah huko huko USA bwana nyie vipi hamuelewi State gani kivipi? State zote ikiwezekana mpaka IDHAO na Alaska kwa Sarah Palin. Au siku za mwanzo NYUYORKNYUYORK,USA.Mtajkuja kuapata neno?Mnakaribishwa NYUYORKNYURORK, Marekani.
ReplyDelete