Wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu ya Tawi CCM London,Sigsbert Rutajunara,Geofrey Kibogoyo na mgeni mwalikwa mjumbe wa NEC Asha Baraka, Alan Kalinga na Mwenyekiti Owino.
Wajumbe walipiga picha ya pamoja na mgeni rasmi wa NEC Asha Baraka, ni Sigsbert Rutajunara, Daud Mwakimwagile,Victor Mashamba,Geofrey Kibogoyo na mzee Katega

Viongozi wa CCM London Alan Kalinga,Mwenyekiti Owino, Katibu Suzan Mzee na Mzee Katega.

Sigsbert Rutajunara katibu CCM Manchester na Mjumbe Geofrey Kibogoyo na mgeni rasmi Asha Baraka.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Nakuona bwana Rutajunara,ndani ya sare ya CCM .Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
    lutengano classmate,Kimanzichana safarini kuelekea Unyamwezini.

    ReplyDelete
  2. SIGSBERT ,WAZIRI WA MICHEZO LUTENGANO KIPINDI HIYO KWELI VIONGOZI BORA HUSHUSHWA NA MUNGU,JAMAA MTU POA,NAAMINI CCM MAKAO MAKUU DOM ITAWAPA USHIRIKIANO WA KUTOSHA,UBARIKIWE SIGS,

    MDAU WA CHINI YA CARPET

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa wazugaji bado wapo tu na mambo yao yasiyoeleweka.
    Michezo kama hiyo mkaifanyie huko kijijini kwa watu wasiojua ulimwengu wa leo unaendaje.
    Lakini kufanya mambo yenu ya ajabuajabu halafu mnatafuta "cheap publicity" online, mtakuwa mnaumbuka kila siku mtoapo picha zenu hapa. Why don`t you guys find something else to do ? A real JOB may I suggest !!

    ReplyDelete
  4. hivi sheria za kupewa passport na kujihusisha na siasa ukiwa nje ya nchi zimebadilika?

    ReplyDelete
  5. Inaonekana Sigsbert umeanza vizuri hapo Manchester, hatujasikia kitu chochote toka kwa aliyekwachia ukatibu. ama kawa bubu baada ya kufika Tanzania.

    ReplyDelete
  6. oyeeee kidumu chama chama kimeleta amani chama kimeleta upendo na muunganiko zidumu fikra sahihi za chama cha mwenyekiti JAKAYA kipenzi cha watu jamani na sisi huku sidney tunahitaji mambo ya ccm mtuletee CCM ina wapenzi kibao huku,kwa maana CCM inaunganisha watu,

    mdau sidney

    ReplyDelete
  7. ningefurahi kama ningeona ka bia kenye rangi ya ccm hapo lakini kwa visoda vya rangi za vyana vingine mie siji hehehe

    ReplyDelete
  8. passport yenyewe ya tanzania ina Rangi ya ccm mpo wadau kwahio tuna safiri na u ccm wetu popote tulipo hihih

    ReplyDelete
  9. enzi za mwalimu,hatukuona wala kusikia tawi la CCM London,sussex,Manchester,n.k.....!!!!! sasa hivi kila kitongoji kuna Tawi la CCM,...!!!!!!hahahahahahahah!!! Nchi hiii Bwana wizi Mtuupu

    ReplyDelete
  10. MICHUZI WHY UNATUKWAZAA??TUKWAMBIE MARA NGAPI??ATA KAMA WEYE NI CCM DAMUDAMU SIO WOTE MSHKAJI
    KWANZA SIO WOTE WENYE VYAMA,
    PILI WENGINE TU VYAMA PINZANI,
    TATU,TUNATAKA NEWZ ZA AKILI UMU BLOGU YA JAMII SIO VYAMA KWANZA VYATUVIKISHA WAPI??TUNGEISHI TU BILA IVO ATA MABABU ZETU WALIISHI BILA IVO,
    NNE SIO UMAARAFU APA WAACHE NA LIFE LAO KWANZA WANATUCHOSHA NA SURA ZAO NZITO,
    TANO SIJAWAI ONA WAPINZANI APA NA NEWZ ZAO MAKINI ,demokrasia makini,nccr,cuf,chadema,tpp nk nk yan wamwonyesha Zitto bcoz kaku-mikonozzzzz
    HUNA JIPYAAA MICHUZZZZ?hatutaki huu upuuzi au sema moja hii blogu inafadhiliwa na CCM kama vile tigo,zein-zainabu
    sooo irritating

    ReplyDelete
  11. Haya mambo yenu wekeni kwenye blog yenu ya ccm huko marekani www.ccmmarekani.blogspot.com sio huku kwenye blog yetu tukufu. Michuzi kama na wewe ni ccm tueleze sio unatuletea huu upuuzi wao huku.

    Mdau
    London

    ReplyDelete
  12. Mimi sielewi ni kwa nini watu wanakwazika kama huyo anonymous hapo juu. Kama wewe huna Chama, sasa tatizo ni nini. Sasa kuna mtu amekulazimisha kujiunga na CCM? Kuhusu Vyama vingine, kwani kuna mtu anawazuia kufanya publicity?? Mbona wapinzani wakitokea huku sisi hatulalamiki?? Huwezi kumzuia mtu anachokipenda, sisi wote ni Watanzania, letu moja regardless of age, gender, sex, belief, and Political stands. Kama wewe unataka kuleta ubaguzi then hustahili kuitwa Mtanzania.

    Huko nyumbani sijasikia wakigombana kwa sababu mtu ni mwana CCM au CUF au sababu ni Mkristo au Muislam. Kwa hiyo na sisi pia tusiwe wabaguzi.
    Na kumlalamikia Michuzi ni kumuonea, yeye anaweka habari zinazotumwa na Watanzania, bila kujalisha imetoka Chama gani

    Mapinduzi Daima

    ReplyDelete
  13. yan
    sijawai ona vyama vingine vya siasa vikiandikwa umu except ccm why michu???sijawai muona Slaa an prof lipumba umu ndani,afu watuwekea watu ata hatuwajui na hawana mchango wowote wa kimaendeleo ktk nchi,,ni ukijani wao,newz zipo kibao kutuhabarisha weka ata mambo ya utalii Tz au ata majirani zetu wenye opportunities za kufa mtu lets say Rwanda,,,,
    me sina chama so nachukia sana when ur so biased wth this green &yellow colourzzz
    weee michu ccm kweli wewe,hii blogu ni ya jamii
    full stop

    ReplyDelete
  14. Mimi nataka nione mtu analalamika wa Chama cha Upinzani kwamba ametuma habari yake kwa Michuzi halafu haikuwekwa. Kama hamna habari mlazimishwe?? Huna habari tulia kwako waache wenye habari wazipeperushe.
    Tatizo sisi watanzania tunachonga sana midomo, halafu ufumbuzi hatuna. Kama CCM wanakukera toa matangazo yako uvae pinki au nyekundu tangaza mambo mengine.
    Tatizo sio creative, tuna degree za malalamishi.
    Think, do somethin, stop complaining
    CCM Hoyee

    ReplyDelete
  15. Tatizo Vyama vingine wanajificha ndani kutwa kulalamikia serikali, wanashindwa kusaidia jamii au hata kujumuika nayo. Hao ndio wachonganishi. CCM wako kila mahali kwenye shida na raha.
    Sasa wewe usio na Chama au mpinzani kama kazi yako ni kulalama tu, utabakia hivyo mpaka mwisho wa maisha yako.
    Hangaika, do something amazing to the society.
    Hongera wana CCM

    ReplyDelete
  16. Waziri wa michezo Lutengano alikuwa Mathew Raymond (Mmasai) Sasa lini sigsbert alikuwa waziri wa michezo.kipindi hiko kuna jamaa allikuwa anacheza namba Tano anaitwa Jax,kipa David
    Mziray na namba nne Mashaka huku kunqa jamaa ambaye ni marehemu frank lupembe.







    Mdau Lutengano

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...