Naibu Mhariri Mtendaji wa TSN Media Group, wachapaji wa HabariLeo na Daily News, Mkumbwa Ali (kati) na Mwanasheria wa Kampuni hiyo Emmanuel Tamira wakimfariji mpiganaji Athumani Hamisi ambaye ni Mhariri wa picha wa gazeti la Habari Leo ambaye bado anapatiwa matibabu ya uti wa mgongo kutokana na ajali ya gari ailiyopata miezi miatatu iliyopita. hapo ni katika hospitali ya Mill park, Johannesburg, Sauzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nilidhani ni KMMC, Bugando au Muhimbili!

    ReplyDelete
  2. Khamis ndugu yangu mshukuru muumba una ajira ya maana. Watanzania wengi wanapoteza maisha kwa sababu ya kutokuhimili gharama za matibabu na muendelezo wa ajira mbovu tulizonazo. Waajiri wangapi wangefanya kama walivyofanya TSN kwa waajiri wao hiyo yote ni kujali michango yao....jamani tuamke.

    ReplyDelete
  3. Anon wa kwanza vifaaa vinajieleza kabisa sio sehemu hizo unazotaja au kipofu????

    ReplyDelete
  4. nyie maanoni msioipenda nchi yenu na kuikandia ivo,,,
    kwa taarifa yenu na mabox yenu ya nje au bongo,na ujinga kwani hamfanyi kazi hospitalin,,ivo vifaa na zaidi ya ivo vipo Bugando,Muhimbili,KCMC nk
    Muumba akuponye kwa upesi na twakuombea urudi home salama kwa nduguzo na Tz
    amen

    ReplyDelete
  5. kama bugando/muhimbili service safiii...angepelekwa huko na sio SA...sasa kuna haja gani ya kuchukua a 4hrs flight to joburg kama angeweza tibiwa TZ...msijivimbishe vichwa...SA wametuzidi kwa mengi...we will have to accept facts before accepting changes...otherwise tunapoteza muda tu.
    ...nasoma SA na TZ naijua so u cant argue with me.....kuna tofauti kubwaa sana btn these two countries..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...