Home
Unlabelled
mpiganaji athumani hamisi atembelewa hospitali sauzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nilidhani ni KMMC, Bugando au Muhimbili!
ReplyDeleteKhamis ndugu yangu mshukuru muumba una ajira ya maana. Watanzania wengi wanapoteza maisha kwa sababu ya kutokuhimili gharama za matibabu na muendelezo wa ajira mbovu tulizonazo. Waajiri wangapi wangefanya kama walivyofanya TSN kwa waajiri wao hiyo yote ni kujali michango yao....jamani tuamke.
ReplyDeleteAnon wa kwanza vifaaa vinajieleza kabisa sio sehemu hizo unazotaja au kipofu????
ReplyDeletenyie maanoni msioipenda nchi yenu na kuikandia ivo,,,
ReplyDeletekwa taarifa yenu na mabox yenu ya nje au bongo,na ujinga kwani hamfanyi kazi hospitalin,,ivo vifaa na zaidi ya ivo vipo Bugando,Muhimbili,KCMC nk
Muumba akuponye kwa upesi na twakuombea urudi home salama kwa nduguzo na Tz
amen
kama bugando/muhimbili service safiii...angepelekwa huko na sio SA...sasa kuna haja gani ya kuchukua a 4hrs flight to joburg kama angeweza tibiwa TZ...msijivimbishe vichwa...SA wametuzidi kwa mengi...we will have to accept facts before accepting changes...otherwise tunapoteza muda tu.
ReplyDelete...nasoma SA na TZ naijua so u cant argue with me.....kuna tofauti kubwaa sana btn these two countries..