I live, work and pursue my medical field here in the United States. I am interested to find a beautiful, commited and serious woman who is also in or pursuing a career in the medical field.
If you are in Tanzania or any other part of the world and you meet my criteria, please feel free to write me.
I believe love has no boundaries; and so as true love. Tafadhali wasiliana nami kwa address kama ilivyo hapo chini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. ila sasa kaka je kama mimi muislamu je itakuaje hata kama im pursuing the same field of work????????a bit tricky though.anywyas all the best in ur search.

    ReplyDelete
  2. Njoo Muhimbili University of Health Science utawapata wasichana wengi wazuri na committed kuliko unavyodhani. Pia Mikocheni Memorial University nayo ina mabinti wazuri sana tu. Bila kusahau Bugando na KCMC universities. Hata kama unataka kuoa kumi utawapata tu. Hivyo take time uje tu huku bongo haitakuchukua hata mwezi mmoja utakuwa umeshawapata wengi tu. Huo ndiyo ushauri ninaoweza kukupatia. Lakini usitegemee msichana atume apllication ya love au fiernceship kama ya kazi? Unaweza usiwapate au utakayepata anaweza kuwa hashikiki.
    Mdau

    ReplyDelete
  3. Mwanamke hatafutwi namna hiyo pumbafu wewe. Kama unataka kuoa, hata hapo Marekani waweza kutafuta. Hawa wa kuadvertise huwezi kumpata aliye genuine. halafu kiingereza chako ni kile cha mwaka wa 47. Interested lazima iendane na 'in'. Nashangaa kama kweli unasoma huko US kama kiingerezxa chako ni hicho cha Maimuna

    ReplyDelete
  4. nakubaliana na Anony wa 10:48. njoo uje ujichagulie mwenyewe, hii hadithi ya kutuma maombi, kidogo kiafrika chetu mwanamke kujitoa hivyo siyo rahisi - labda yuko desperate! macho unayo njoo uchague acha hizo!

    ReplyDelete
  5. love has no boundaries???????? bt for you i think carreer is a boundary!!! Mhhhhh

    ReplyDelete
  6. Naungana na mshauri no mbili, Kweli kaka umevinjari kutafuta wa aina hiyo we tafutua likizo uje nyumbani wapo wa kumwagika wala sio kama njia uloitumia itakusaidia sana, we toa uvivu funga safari uje ujitwalie vichinchiri mi dada ya kukata na shoka. Hapa jamvini wengi watakupaka tuu hakuna jipya.

    ReplyDelete
  7. Hee Ebo..!! Wewe anony hapo juu vipi unamuelekeza mbeba box akachukue madam wetu...!!! Wacha akakomae na makaratasi yake huko kwa Obama......!!!.

    ReplyDelete
  8. Mjomba ukikumbuka kutinga DAR usisahau kupima tena wasikuchagulie Hospital chagua wewe mwenyewe ama utamchukia kaka MICHUZI kwa kukupa nafasi ya kutafuta mauti yako badala ya mke.

    ReplyDelete
  9. Ehee nyie nyote mmenishangaza!! hivi hamjui ya kuwa mke mwema utoka kwa Mungu ndugu piga goti omba kwa Mungu naye atakupa mke mwema. Sio kutoa tangazo kama la kazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...