I live, work and pursue my medical field here in the United States. I am interested to find a beautiful, commited and serious woman who is also in or pursuing a career in the medical field.
If you are in Tanzania or any other part of the world and you meet my criteria, please feel free to write me.
I believe love has no boundaries; and so as true love. Tafadhali wasiliana nami kwa address kama ilivyo hapo chini.
Asante
williamsdon37@yahoo.com
williamsdon37@yahoo.com
ila sasa kaka je kama mimi muislamu je itakuaje hata kama im pursuing the same field of work????????a bit tricky though.anywyas all the best in ur search.
ReplyDeleteNjoo Muhimbili University of Health Science utawapata wasichana wengi wazuri na committed kuliko unavyodhani. Pia Mikocheni Memorial University nayo ina mabinti wazuri sana tu. Bila kusahau Bugando na KCMC universities. Hata kama unataka kuoa kumi utawapata tu. Hivyo take time uje tu huku bongo haitakuchukua hata mwezi mmoja utakuwa umeshawapata wengi tu. Huo ndiyo ushauri ninaoweza kukupatia. Lakini usitegemee msichana atume apllication ya love au fiernceship kama ya kazi? Unaweza usiwapate au utakayepata anaweza kuwa hashikiki.
ReplyDeleteMdau
Mwanamke hatafutwi namna hiyo pumbafu wewe. Kama unataka kuoa, hata hapo Marekani waweza kutafuta. Hawa wa kuadvertise huwezi kumpata aliye genuine. halafu kiingereza chako ni kile cha mwaka wa 47. Interested lazima iendane na 'in'. Nashangaa kama kweli unasoma huko US kama kiingerezxa chako ni hicho cha Maimuna
ReplyDeletenakubaliana na Anony wa 10:48. njoo uje ujichagulie mwenyewe, hii hadithi ya kutuma maombi, kidogo kiafrika chetu mwanamke kujitoa hivyo siyo rahisi - labda yuko desperate! macho unayo njoo uchague acha hizo!
ReplyDeletelove has no boundaries???????? bt for you i think carreer is a boundary!!! Mhhhhh
ReplyDeleteNaungana na mshauri no mbili, Kweli kaka umevinjari kutafuta wa aina hiyo we tafutua likizo uje nyumbani wapo wa kumwagika wala sio kama njia uloitumia itakusaidia sana, we toa uvivu funga safari uje ujitwalie vichinchiri mi dada ya kukata na shoka. Hapa jamvini wengi watakupaka tuu hakuna jipya.
ReplyDeleteHee Ebo..!! Wewe anony hapo juu vipi unamuelekeza mbeba box akachukue madam wetu...!!! Wacha akakomae na makaratasi yake huko kwa Obama......!!!.
ReplyDeleteMjomba ukikumbuka kutinga DAR usisahau kupima tena wasikuchagulie Hospital chagua wewe mwenyewe ama utamchukia kaka MICHUZI kwa kukupa nafasi ya kutafuta mauti yako badala ya mke.
ReplyDeleteEhee nyie nyote mmenishangaza!! hivi hamjui ya kuwa mke mwema utoka kwa Mungu ndugu piga goti omba kwa Mungu naye atakupa mke mwema. Sio kutoa tangazo kama la kazi
ReplyDelete