JIBU SAHIHI LA KUSAFISHA MAJI YA KUNYWA HATA KAMA YANA UCHAFU AU TOPE LA NAMNA GANI !

Paketi moja ya gramu 4 inasafisha lita 10 za maji katika kipindi cha nusu saa.
Faida za PUR Water Purifier Inaondoa uchafu, vijidudu vya maradhi (bacteria, viruses, cysts) kama kuharisha, kipindupindu, homa ya matumbo n.k , mabaki ya dawa za mimea na wadudu na maadini ya vyuma vizito yasiyofaa kwenye maji (arsenic, Lead, Chromium).

Bidha bora toka PROCTER & GAMBLE

htttp://www.pghsi.com/pghsi/safewater/
www.pghsi.com/pghsi/safewater/video_library.html

Wauzaji wa jumla wasiliana na :
Email
segerea.azia@gmail.com


simu

0754 366 147,

0715 782648.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. i wonder kama side effects?

    ReplyDelete
  2. ya kwamba huchemshi maji tena au?
    aifanani na ile nini ile ya kuweka ktk maji inanukaaaa radha yote yapotea

    ReplyDelete
  3. Warning! warning!CHEMSHA MAJI......THIS IS NOT GOOD FOR YOUR HEALTH AT ALL.CANCER! CANCER!Does anyone know what chemicals this thing is made of?
    TAFADHALI WOTE MNAOSOMA SPREAD THE WORD......IF YOU HAVE EVER READ ABOUT HOW FAST CANCER IS SPREADING IN DEVELOPING WORLD.KUNA MAGONJWA MENGI SANA AMBAYO BADO NI MATATIZO KWENYE NCHI ZETU why buying more by your own money?

    WEBSITE YAO HATA ADRESS HAKUNA? KUNA LINK TUU YA KUJAZA INFO.

    TORONTO- CANADA

    ReplyDelete
  4. We appreciate your interest in P&G products. If you own a store and want to order directly from us, our minimum requirements are a combined full semi-truckload of Laundry, Cleaning, Paper, Food and Beverage brands or 300 cases of Beauty and Health Care items. If you're able to order this amount, please call our corporate office at 513-983-1100 or for Beauty and Health Care products, call 1-800-692-0132.

    ReplyDelete
  5. KAKA MICHUZI MBONA HAWA WENYE KAMPUNI WANASEMA HAYO MAMBO YA KUSAFISHA MAJI ANAYOSEMA HUYU JAMAA HAWAJUI NA HAKUNA KITU KAMA HICHO? je wewe muuzaji umepata wapi hayo madawa AU UMETOA CHINA? WATCH OUT.
    ANON -USA

    ReplyDelete
  6. miaka kumi iliopita kulikuwa kuna filming ya tangazo la maji . meaning product kama hii ya kusafisha maji.kwa bahati nilikuwepo wakati wa filming,kwenye nyumba moja hivi upanga.

    cha kushangaza wakati wa acting walikuwa wanamwaga kipacket cha hiyo chemical ya kusafishia maji kwenye ndoo ya maji,wakati actress mwanamama anayakoroga akiwa anaongea

    lakini ilipofika wakati wa kunywa yale maji yaliokorogwa na huo unga wa kusafisha maji alikuwa anatumbukiza glass mlemle kwenye yale maji yaliochanganywa na chemical, aliinuwa glass ya maji mpaka nusu alafu wakawa wana pose cameras ili achukuwe maji ya kilimanjaro yaliotiwa kwenye glass inayo fanana na ile ilio na maji yenye chemical alafu alikunywa yale maji ya kilimanjaro akijitia kusifu na scripture waliomfundisha kana vile maji yenye chemical ya kusafisha maji yana radha na masafi uku wakifilm maji ya kilimanjaro yalio ndani ya glass wakimanisha ndo maji yenye chemical.
    wakati yale maji yenye chemical yalio ndani ya ndoo yalikuwa kama maji ya mvua yalio bara barani kwenye madimbwi.

    sijui lile tangazo kwanini halikutolewa
    na sielewi biyashara iliendelea au vipi kwani nilienda sweeden

    na wahusika walikuwa wahindi je michzi wahusika ni wahindi na ndo walewale wa miaka ya nyuma pls okowa ndugu zako.ni hatari sana wanachokifanya mana si helewi kwanini hawakuruhusu actress ayanywe wakati wa tangazo kwenye shooting.

    PIA TOA HII COMMENT WACHA ISOMWE NA HAO WENYE HII BIYASHARA WATAFUTE NAMNA GINUEN YA KUTUELEWESHA KAMA HII CHEMICAL NI GINUEN IKIWEZEKANA WAONESHWE KWENYE TV LIVE HISIWE RECORDED PLS PLS.TENA WAKATI WANAONESHA LIVE WAWE WANAKUNYWA WENYEWE HIYO CHEMICAL SIO MODELS.

    ReplyDelete
  7. I have a reasonable understanding about water treatment through my work with a reputable INGO dealing with water treatment among others in developing countries. I'm aware about the product in question and I totally agree with the contributors are against it. The product contains two types of chemicals aluminum and chlorine. Aluminum does sedimentation and chlorine kills the pathogenic organisms. Normally Sedimentation has to first take place before chlorination because the organisms tend hide inside the suspended particles (normally contained in water) hence chlorine will never be able to kill all of them.

    Kwa hiyo basi ni muhimu maji yachuje kwanza baada ya kuwekewa alluminium ili kupunguza uwezekano wa wadudu kubakia kwenye maji hata baada ya kutiliwa chlorine. Dawa hii ya PUR haitenganishi hizi hatua muhimu hivyo wadudu wanabakia kwenye ndoo yako wakidunda tuu na uwezakano wa mtumiaji kudhurika kwa kunywa maji hayo unabakia pale pale, actually anakuwa ameongeza Kemikali pia mwilini mwake. Kwahiyo napenda kuunga mkono upingwaji wa dawa kama hizi na idara zinazohusika inabidi zifanye kazi zao vizuri ili kulinda afya ya umma. Huyu jamaa anasema hizi dawa pia zinaondoa madini mengine kama arsenic!!!!!, sina uhakika anajua anachokitangaza kwani madini kama hayo ni vigumu kuyaondoa na techonolojia ya hali ya juu zaidi inahitajika. Ningependa huyu jamaa atoe ufafanuzi ni kemikali zipi zilizoko kwenye PUR ziondoazo madini hayo.

    Ni kweli pia nijuavyo kuwa kemikali kama chlorine zinasababisha kansa, uwezekano ni mkubwa pale ikizidishwa (mfano - mtu anaweka PUR kwenye maji kidogo kuliko inavyotakiwa.

    Lazima tukumbuke pia kuwa hatuwezi kuepuka kemikali moja kwa moja kwani idara/mashirika ya usambazaji maji duniani kama dawasa hutumia kemikali hizi ila umakini katika viwango na vipimo ndio unatofautiniana katika ya nchi zilizoendelea na zile za kwetu.

    Ningeungana na wadau wengine wanaoshauri njia za asili za kutibu maji - chemsha. Katika uzoefu wetu, uambukizaji wa maji hutokea mara nyingi tunapotumia vyombo visivyo safi hivyo ni muhimu kusistiza usafi wa vitekea maji pia

    Ni hayo tu kwa leo
    Mulla (mullaj@hotmail.com)

    ReplyDelete
  8. thanx MULLA hii ni hatari kubwa sana.
    hawa watu wafuatiliwe na wazuiwe haraka iwezekanavyo.au mpaka watakapo kunywa wenyewe hii chemical tena wabugie kama ubuyu wa unga .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...