wadau robert william lyakurwa na hellen amandus kimaryo wakimeremeta jana katika ukumbi wa blue pearl hotel (ubungo plaza) baada ya kufunga kitanzi kanisa la st. gasper de bufallo, mbezi beach, dar. wote wanaishi australia na wamekuja bongo kumeremeta na ndugu zao
maharusi wakiwa na ndugu wa karibu wa bi. harusi

mmependeza sana hongera MSHA na wifey....
ReplyDeletemwenyekiti, hawa ndio watanzania,hawa ndi, safi sana, hongereni sana, na mungu awatangulie hata huko mnakoishi, mheshimiwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. sio LIBERIA,NIGERIA WALA MAREKANI. NI TANZANIA.
ReplyDeleteMUNGU AWATANGALIE WANAOTANGULIZA UTANZANIA.
hongera Hellen
ReplyDeleteMpendeza kweli,nawatakia maisha mema ya ndoa
ReplyDeletewwwooooooooooo...Mzee wa UDASA kapata jiko...!!!Big One Mr Zux!!! kwa kupata jiko!!!!! Wishing you na Hellen all the best kwenye maisha yenu mapya!!!
ReplyDeleteMungu awalinde....!!
its your boy Frank!
UDSM fam...
MAHARUSI MNAVUTIA. MUNGU ATAIBARIKI TOA YENU MILELE
ReplyDeleteah,mbona !na kaa kimya nikitoa maoni yangu hayatachapishwa.
ReplyDeletehongera sana maarusi.
Mmependeza wenyewe...hongereni jamani. Kitu kimoja....Mtindo wa ufungaji huo wa harusi ni wa kizungu, sasa wenyewe kwa kawaida usimamaji wao huwa mwanaume anasimama kulia kwa bibi harusi(mwanamke) yaani mke(bibi harusi) anakuwa kushoto kwa mumewe na hiyo inakuwa kipindi chote wakati ndoa inafungwa hadi kwenye sherehe zinazofuata; sasa hapo imekuwaje mbona bwana mzee umebinywa kushoto? Utadhani bibie ndo kakuoa? Mwee!!!
ReplyDeleteRay Allen - Boston Celtics kaenda kuoa Bongo?
ReplyDeleteAnon 12:14
ReplyDeletemapenzi hayajui utaifa,ukabila wala dini,ni maelewano na mapenzi ya kweli.
hongera sana maharusi.
Hongera sana Mr. zux na wife,Mungu awabariki ktk ndoa yenu.
ReplyDeleteNi mimi Vicky
Hellen hongera saaana!!
ReplyDeleteMdau, Wichita KS
bibi harusi umri wake mzuri inaonekana atatulia kwenye ndoa,kwenye kuoa wadau nafkri kidogo tuzingatie umri.
ReplyDeleteahsanteni.
Jamani hongereni sana Hellen & Msha.vijana wa 'Enzi' mwayaona hayo lakini??(Lusungu,David,Huila,James,Tom,Teo)
ReplyDeleteNi mimi dada yenu.
Hongera sana jamani kwa kufunga pingu ya maisha. Mungu wabariki katika ndoa yetu.
ReplyDelete