wadau robert william lyakurwa na hellen amandus kimaryo wakimeremeta jana katika ukumbi wa blue pearl hotel (ubungo plaza) baada ya kufunga kitanzi kanisa la st. gasper de bufallo, mbezi beach, dar. wote wanaishi australia na wamekuja bongo kumeremeta na ndugu zao
maharusi wakiwa na ndugu wa karibu wa bi. harusi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. mmependeza sana hongera MSHA na wifey....

    ReplyDelete
  2. mwenyekiti, hawa ndio watanzania,hawa ndi, safi sana, hongereni sana, na mungu awatangulie hata huko mnakoishi, mheshimiwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. sio LIBERIA,NIGERIA WALA MAREKANI. NI TANZANIA.
    MUNGU AWATANGALIE WANAOTANGULIZA UTANZANIA.

    ReplyDelete
  3. hongera Hellen

    ReplyDelete
  4. Mpendeza kweli,nawatakia maisha mema ya ndoa

    ReplyDelete
  5. wwwooooooooooo...Mzee wa UDASA kapata jiko...!!!Big One Mr Zux!!! kwa kupata jiko!!!!! Wishing you na Hellen all the best kwenye maisha yenu mapya!!!

    Mungu awalinde....!!

    its your boy Frank!

    UDSM fam...

    ReplyDelete
  6. MAHARUSI MNAVUTIA. MUNGU ATAIBARIKI TOA YENU MILELE

    ReplyDelete
  7. ah,mbona !na kaa kimya nikitoa maoni yangu hayatachapishwa.
    hongera sana maarusi.

    ReplyDelete
  8. Mmependeza wenyewe...hongereni jamani. Kitu kimoja....Mtindo wa ufungaji huo wa harusi ni wa kizungu, sasa wenyewe kwa kawaida usimamaji wao huwa mwanaume anasimama kulia kwa bibi harusi(mwanamke) yaani mke(bibi harusi) anakuwa kushoto kwa mumewe na hiyo inakuwa kipindi chote wakati ndoa inafungwa hadi kwenye sherehe zinazofuata; sasa hapo imekuwaje mbona bwana mzee umebinywa kushoto? Utadhani bibie ndo kakuoa? Mwee!!!

    ReplyDelete
  9. Ray Allen - Boston Celtics kaenda kuoa Bongo?

    ReplyDelete
  10. Anon 12:14

    mapenzi hayajui utaifa,ukabila wala dini,ni maelewano na mapenzi ya kweli.

    hongera sana maharusi.

    ReplyDelete
  11. Hongera sana Mr. zux na wife,Mungu awabariki ktk ndoa yenu.
    Ni mimi Vicky

    ReplyDelete
  12. Hellen hongera saaana!!
    Mdau, Wichita KS

    ReplyDelete
  13. bibi harusi umri wake mzuri inaonekana atatulia kwenye ndoa,kwenye kuoa wadau nafkri kidogo tuzingatie umri.
    ahsanteni.

    ReplyDelete
  14. Jamani hongereni sana Hellen & Msha.vijana wa 'Enzi' mwayaona hayo lakini??(Lusungu,David,Huila,James,Tom,Teo)
    Ni mimi dada yenu.

    ReplyDelete
  15. Hongera sana jamani kwa kufunga pingu ya maisha. Mungu wabariki katika ndoa yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...