Ofisa wa Vodacom Tanzania Daniel Kijo akiwa na washindi wane walioshinda nafasi toka kanda ya kaskazini katika mchujo wa awali uliofanyika katika shule ya Arusha Modern School
Meneja wa Vodacom kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakis (aliyeinama) akielekeza mmoja wa vijana wa a-taun waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Bongo Star Search uliofanyika jijini humo wikiendi ilopita

msururu wa vijana zaidi ya 200 wakijiandikisha kujaribu bahati yao BSS.
Mchujo mwingine wa awali utafanyika kuanzia February 28 hadi Machi 1 mwaka huu huko Tanga katika ukumbi wa Eckenford. Vijana wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujaribu bahati zao katika kinyang'anyiro hiki ambacho Vodacom Tanzania ndiye mdhamini mkuu.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Is this Tanzanian version of "American Idol?" If that is the case, then Wabongo nawanyooshea mikono juu kwa kuiga. Duhh.

    ReplyDelete
  2. HII TASAIDIA SANA KUZOROTESHA UCHUMI WA NCHI, HYA NI MATOKEO YA ELIMU DUNI NA UVIVU. INGEKUWE NI STAA SECHI YA MAANA MSITARI UNGEPUNGUA UREFU. EASY LIFE BONGO!

    ReplyDelete
  3. wamejitokeza wengi kwa sababu Salama hayupo wengi wanamuogopaga .Salama alikuwa noma kweli kweli japo kuwa alikuwa anawapa ukweli

    ReplyDelete
  4. wee annon#1 una shida na ilo?
    kwani kuna nchi apa duniani wana kitu chao peke yake?

    utandawazi ndo uo

    ReplyDelete
  5. Nafikiri kuiga si kubaya if it is a positive thing. because this is a globalised world. kama kitu kinainua vipaji na kutengeza ajira kwa watu na kuinua ari ya uimbaji,poa tu.

    ReplyDelete
  6. ofcourse and it's not the first time...

    ReplyDelete
  7. Huuuu ni wizi mtuuuuuuuupu

    ReplyDelete
  8. wewe mchangiaji wa mwanzo umzima wa akili? umeona american idol ndio big deal? kwani unafikiri tanzania peke yao ndio walioga? kwani huko amerika ilifikaje? simon na kampuni yake walianzisha huku uk ndio ikafuata huko marekani; tena basi haikuanzia hapo tu ilianzia mashindano kwa jina la popstars. sasa mbona huwasemi wamerekani kwa kuiga? kuna mambo chungu mzima ya tv huanza nchi moja na nchi nyengine wanapopenda hununua copy right na kufanya version zao. mifano ni mingi tu kama big brother, gladiator, im celebrity get me out of here, pop idol, x-factor, stricly come dancing (america wanaita dance with stars or something like that) the weakest link etc etc.

    ReplyDelete
  9. mdau hapo juu,kwa taarifa yako American Idol wenyewe waliiga from UK's Pop Idol.kwahiyo waache wabongo waige watakavyo.

    ReplyDelete
  10. Tatizo utafanya kitu gani kipya,bila kuiga,mfano mzuri ni huu wa kudharau Kiswahili chetu wenyewe, kwa kinasibisha na mambo ya upuuzi.
    Hapa naashiria kuwa,vipya vyetu wenyewe, AMBAVYO HAVIJULIKANI KIMATAIFA, hatuvithamini, kizuri ni kile kinachotoka `udhinguni' au sio wabeba maboksi?
    Hata hii Bongo search, mara ya kwanza walikuwa hawapendi waimba taarabu ehe, lakini baadaye wakaona inalipa... tuthamini vyetu ili vijulikane, hapo ndipo tutaweza kutoa `mpya'
    M3

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...