Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani Watanzania wenzangi mniwe radhi kwa kusema sisi ni mabwege kabla ya mechi, nashukuru tumeshinda lakini naendelea kusisitiza tuna kaubwege bado. Ila nimependa maneno ya makocha waliyosema:
ReplyDeleteGeorges Kouadio (Cote D’Ivoire)
“I am very disappointed we lost again. We had never anticipated for such fortune during the competition.
“We attacked throughout the game, but the Tanzania defence was up to task. They were tactically better and deserved the victory.”
Marcio Maximo (Tanzania)
“My players were tactically disciplined and the result showed. My team is a young team with an average age of 22.
“The experience is very good for my team, and we will build on that in subsequent matches.”
bwege ni wewe uliyeweka post pasipostahili,halafu haujataja huo ubwehe ni upi.nafikiri wewe ni miongoni mwa wajinga wachache walionje ya nchi wanaofikiri kitumwa.ukome kuwaita watanzania mabwege.
ReplyDeletemungu ibariki tanzania,mungu wabariki watanzania wenye mtazamo dhabiti wa maendeleo na sio masenene.
Do! Kipaonya umeonyesha upeo. Walalahoi titaponaje? Mungu atusaidie maana kwa mtindo huu...
ReplyDeleteHao nahisi ni wafugaji wamelaliwa, maana amevaa kiheleni mkononi! Kweli nisiri maana hata vyombo vya habari viko kimya
ReplyDeleteNaona serikali imeamuakuwa vegetarian. Ranchi za Uma zadorora, walala hoi kutoka msituni walaliwa. Hii ni dalili mbaya, hatutafika mbali. Tanzania sio kisiwa cha amani tena.
ReplyDeleteUUi loyeekulo, hatam mimi ni mtasania, kwa nini kunionea?
ReplyDeleteshigela, tujage nkoi! Nalimwimbile Nkomoji.
ReplyDeleteWao wameshiba, shibe yao ndio hiyo. Nyerere angefufuka leo angefukuzwa na jinamizi atakaloliona! Majeshi yaliyokuwa ya ukombozi ndio yatumika kuleta umaskini.
ReplyDeleteSioni sababu kwa nini wananchi wawe wakimbizi nchini kwao? Wakati watoto walikuwa wanakufa kwa kinga, watu wengi walikimbilia kwa wafugaji kuponyesha watoto wao.
ReplyDeleteSoko la pugu liko mashakani. Jamani hatuwezi kukumbuka tulivyoteseka wakati wa magonjwa ya ngombe, karandeni ya muda tu Dar yote yawayawaya.
ReplyDeleteHiyo shibe na kitambi cha siri kali sio kula nyama? Mie naona kuwa hilo linalofanyika sio suluhu sahihi.
ReplyDeleteHii haijawahi kutokea, itakuwa ni kumbu kumbu isiyosahaulika ya awamu ya kukunja nne
ReplyDeleteKuni iliyo pembeni isicheke iliyo motoni, zamu kwa zamu.Tia maji.
ReplyDeleteacha hifo papalai,nanilalia sana
ReplyDeleteNafuu wale wanaojua kulima. Je wasiojua kulima? Basi wajengewe nao chuo kikuu kama wamachinga.
ReplyDeleteNimeshtuka Kumbe sio Ihefu tu, yamepiga hodi moro.
ReplyDeleteWaliondolewa Serengeti, manyara, mkomazi, mikumi na sasa...
ReplyDeleteHuyo anayelalia walala hoi kwa siri, kitambi kitanyoromoka, anasahau anaishi kwa jasho lao
ReplyDeleteHii ni kasumba ya mkoloni, kama walivyo fanya zamani huko Kenya
ReplyDeleteMbona wakati wa kiangazi tunatoa malisho kwa mifugo ya kenya, iweje leo hivi wakati wa mvua wenyeji waondolewe? Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni
ReplyDeleteJamani msishangae, unabii unatimia, mwanakondoo atanena kama joka, soma ufunuo 13. Kisiwa cha amani chageuka dar(fr)
ReplyDeleteLakini kweli jamani hao ndugu zetu hawana pa kukimbilia,ni marafiki wa watu wote, ni watani wa watu wote, hata serikali inaingiza hela nyingi kwa utalii. Sio ubinadamu huo kabisa, Kuwafanyia eviction, ni hatari kwa taifa.
ReplyDeleteHoja zoote naunga mkono ni sahihi, lakini kwanini wao wanaangalia kuchunga tu?
ReplyDeleteWizi mtupu
ReplyDeleteKustaarabika, kuagizia wali nyama hotelini, umevaa suruali yako safi, hautajua kuwa kuna changamoto kupita kwenye msitu, wa majoka na simba. Au mnataka wote waje mjini? Mie naona wangesaidiwa waliojaa mijini warudi vijijini, na kuwafundisha ufugaji wa kisasa. Kuwafanyia hicho cha sasa ni mismanagement of resource. Wanahitaji redirection sio oppresion!
ReplyDeleteHivi Magufuli wamemfunga kufuli? Iweje zama hizo aonyeshe ushujaa kutetea lami, isibebeshwe meli kwenda maeneo ya kwao ya ziwa na leo watu wa kwao wanafanywa kiti ananyamaa? Au ndo naye kashashiba maziwa! Ngoja yakauke tuone kama atakuwa na kazi.
ReplyDeleteSilaha, Slaa, laaaaaaaaaa, bungeni ibua tume ya Ihefu maana imekaliwa tena!
ReplyDeleteTunaweza sana usuluhishi wa mambo ya nje ya nchi mpaka tunakuwa na International Criminal Tribunal for Rwanda. Odinga na Kibaki wamepatanishwa, hata Mugabe na Tsvangirai wako pamoja, kwan nini njia ya haki ya usuluhishi isitumike kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji? Au kwa vile huko kuna manyasi tu, na hakuna maji Africa?
ReplyDeleteMie nimegundua ya richmond ilikazaniwa kwa vile ilihusu posho yao, Kamati ya Ihefu haiwahusu maana ni ya waliolaliwa hoi. Lakini hao hao wananchi ndio waliowachagua.Utaagizaje ukatwe mti ulioupanda nawe uko juu?
ReplyDeleteSiamini kama hili linatendeka Tanzania, nilisikia ya Zanzibar zamani lakini hakuleta ukapa kwa kweli. Sasa kikombe kinaendelea kujaa.
ReplyDeleteJamani msiitabirie mabaya nchi yetu. Inatosha wamesikia, shida ni washauri wa bwana tabasamu, na hajui wanamharibia 2010.
ReplyDelete