Ratiba ya LAdy JD na Machozi band ni kama ifuatavyo
Leo Ijumaa: atakuwa Bull Dogs, Masaki.
Kesho Jumamosi: Atakuwa SweetEAsy kama kawa
Jumapili: Thai Village, barabara ya Chole road, Masaki
o

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Jide, huwezi hata ukapangilia kufanya show moja kwenye kumbi ama sehemu za wastan kama huku Ilala, temeke ama hata sinza??? Huku ndio kuna mashabiki wako wa dhati na wala sio huko sweet easy ambako wengine hawajui hata unacho imba. Seroius, fan base yako kubwa hauitendei haki kama utakua unafanyia show zako kwenye hayo maeneo tajwa (Bull-dogs, sweet easy etc), japo najua mshiko ni mzuri.

    ReplyDelete
  2. Mjomba haka ka lugha ni kagumu kwako, "barabra ya chole Road" ndio nini?

    ReplyDelete
  3. Tatizo laenu hakawii kuja huko mkamuona sister doo mkampiga mawe wabongo hamna dogo bajaji zipo jivuteni tu mdogo mdogo

    ReplyDelete
  4. Hivi we jide kwanini hua hujijulii style zako?
    sasa si unaona bwana hapo mtoto umetoka japo najua ni photoshop bt at least kimavazi na manywelez yamekutoa...
    big up mamaaaa....

    ReplyDelete
  5. MMH HAMUCHOKI? ANAWAKA KILA SIKU HUYO, MAMBO YA JANA SWEET EAZY SIO MCHEZO, KITOVU KILE HATARI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...