kama ulidhania mahakama ya mbuzi ni jina la uzushi fikiria tena !! hili ni jina la kijiji huko wales LLANFAIRPWLLGWYNGYLLGOGERYCHWYRNDROBWLLLLANTYSILIOGOGOGOCH, halafu kuna kituo cha gari moshi.
mdau Gas

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Acha masihara we mnyalukolo!

    ReplyDelete
  2. haya sasa wenye kubisha na wabishe http://www.llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch.com/

    Mdau Wales.

    ReplyDelete
  3. Hao wa-Welshi wa hicho kijiji ni wanyalukolo tu ... na wana viushamba fulani vya kutaka nao wasikike katika Muungano wao wa United Kingdom.

    Cheki movie moja inaitwa "The man who went up a hill and came down a mountain" uone vituko vya wa-Welshi.

    ReplyDelete
  4. Hao wa-Welshi wa hicho kijiji ni wanyalukolo tu ... na wana viushamba fulani vya kutaka nao wasikike katika Muungano wao wa United Kingdom.

    Cheki movie moja inaitwa "The man who went up a hill and came down a mountain" uone vituko vya wa-Welshi.

    ReplyDelete
  5. Rafiki yangu aishi mji huu hapa New Zealand : Tetaumatawhakatangihangakoauaotamateaurehaeaturipukapihimaungahoronukupokaiwhenuaakitanarahu
    Ihali mchumba wake yupo Thailand kwenye hiki kijiji kiitwacho: Krungthepmahanakornamornratanakosinmahintarayutthayamahadilokphop
    nopparatrajathaniburiromudomrajaniwesmahasatharn
    amornphimarnavatarnsathitsakkattiyavisanukamprasit

    Angalia GUINESS BOOK OF RECORD kuhakikisha au kusahihisha.

    ReplyDelete
  6. tunaomba wadau wa cardif mpige picha mtuletee juu hapo nasikia ni kivutio cha utalii nasikia platform nzima ni jina la kituo. taswira tafadhali

    ReplyDelete
  7. The name on the sign that marks this hill is "Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu", which translates roughly as The summit where Tamatea, the man with the big knees, the climber of mountains, the land-swallower who travelled about, played his nose flute to his loved one. At 85 letters, it has been listed in the Guinness World Records as one of the longest place names in the world.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...