JK akimkaribisha Mama Maria Nyerere Ikulu leo ambako mjane huyo wa Baba wa Taifa alikwenda kuwajulia hali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Michuzi, ule mjadala (au niseme mradi) juu ya vazi rasmi la taifa bado unaendelea? mimi kila nikimwona JK ametinga suti hii huwa natamani kama ningekuwa mtu wa karibu na dola na kumshawishi kuwa aifanye hii kuwa utambulisho wake. hata akiwa anakutana na bo wa marekani!! pamoja na sisi kuchangia staili yetu katika uwanja wa utandawazi, watengenezaji ni watanzania ambao nao watanufaika, na tutaacha kuwanufaisha watengenezaji tai na suti za ulaya.
    Kama mjadala bado upo basi mimi ninafagilia hii staili ya suti, badala ya ile ya bush!

    ReplyDelete
  2. Yaani inapendeza sana, mama maria sasa amechukua kabisa sura ya mwalimu!!!!
    Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Raisi wetu JK!!!

    Mdau canada!

    ReplyDelete
  3. Mungu ambarikie, ndugu is it my imagination au huyu Mama she looks like the old man Mwalimu? Wazungu wana masemo eti baada ya miaka mingi ya ndoa, mume na mke wanaanza kuwa na sura moja !!!!
    Anyway, it would be interesting to have sex with someone who likes you !!! but then you can always close your eyes and think about Beyonce !!!!

    ReplyDelete
  4. Picha nzuri sana. Inamuonyesha Jakaya akiwa ni mnyenyekevu, msikivu, mwenye nidhamu na adabu ya hali ya juu kabisa. Na hizi ndizo sifa za JK. Kweli unafaa kuwa Rais. Mungu Akupe yaliyo ya kheri. "Ukitaka mambo yakunyookee shika wazee" na Julius Nyerere.

    ReplyDelete
  5. nimeipenda hiyo phot mno...nadhani mama nyerere anakuja kumuasa kijana kutokana na mwenendo nzima wa muelekeo wa nchi,manake kipindi kile cha mzee mambo hayakuwa hivi,so ndio maana jakaya anaonekana ni mnyenyekevu mno kwake,kwani anajua wapi anaenda kombo lakini ndio hivyo tena,
    JK plse rrekebisha nchi kabla mambo hayajawa mrama zaidi.....(MICHUZI NAOMBA KUKUULIZA,YULE BINTI WA KIHINDI ALIYEWEKWA RUMANDE NA MME WAKE KWA KOSA LA KUMUUA MWENZIE MWENHYE ASILI YA KIASIA NI KWELI AMEKUFA HUKO SERO?MANAKE TANGU NISIKIE HIZO TETESI JAMBOFORUMS SIJAONA PAHALA POPOTE INATANGAZWA HIYO NEWS....PLSEE KAMA NI KWELI NAOMBA NIJULISHWE)

    ReplyDelete
  6. WEWE MDAU WA PILI UMEPATIA SANA NIKWELI KABISA LIKE HER HUSBUND LIKE HIS WIFE JAMANI HATA MIMI MUNGU AKINIPA UHAI NITAFANANA NA MY HUSBAND WANGU,MUME WA UJANA WANGU,BABA WA WATOTO WANGU WENYEWE TULIKUTANA NIKIWA NA 24 YEYE 31 HADI HII LEO MIMI NINA 34 YEYE 41.I LOVE MY HUSB HAKIKA KAMA MWL NA MARIA.MWL ALIMUOA MARIA AKIWA BINTI MDOGO.HONGERA MAMA YETU MARIA MUNGU AKUPE AFYA NJEMA MAMA


    MARRIEGE IS NOT ALWAYS EASY YOU HAVE TO WORK ON IT IN ORDER TO MAKE IT SUCCESSFULY


    IT DOESNT MATTER HOW YOUNG YOU ARE WHEN YOU WANT TO GET MARRIEGE AS LONG AS TO THE RIGTH PERSON


    HAKIKA MWL ALIKUWA RIGHT KWA MARIA NDO MAANA WAMEFANANA

    NDOA INAPOKUWA NA MIGOGORO KAMWE HAMFANANI NG,OOOOOOO

    ReplyDelete
  7. Katika biblia, kuna mahali imeandikwa (I paraphrase) akampata wa kufanana naye.
    Naam, Mwalimu Nyerere alimpata (Maria) wa kufanana naye.
    Wabarikiwe hawa wapendwa wetu.

    ReplyDelete
  8. bila ubishi sura ya mama hapa hasa nywele hakika ni kama baba wa taifa kabisa ilibidi nifute macho mara mbili kuangalia hii picha mwenyewe nimekubali sijawahi kupenda picha hapa kama hii imenivutia sana hongera mama etu mungu akubaridi na maisha yako uishi salama mdau stellenbosch

    ReplyDelete
  9. Mnyonge mnyongeni na mwenye haki apate, hapa Kikwete naonekana kapendeza sana na hiyo suti,pia anaonekana mwenye utii na unyenyekevu wa hali ya juu huku akisikiliza ushauri na mawaidha toka kwa mama Maria Nyerere.Na CRITIC WA CCM,MSOLOPOGAZI USA.

    ReplyDelete
  10. Ahsante kwa picha hiyo Mbunge wa nanihi.Nafikiri ya kwamba Mama Maria Hakwenda Ikulu kuzulu majengo ambayo alikuwepo hapo kwa miaka kadhaa ni imani yangu ya kua Mama Maria kuan mambo alimnong'oneza JK .Mwanangu nchi inakwenda kombo.Mafisadi,rushwa katika viongozi wa juu,Mauaaji ya maalbino na mambo mngine ambayo kanma hatayachulia hatua yanaweza kuzusha machafuko.JK Sikiliza husia wa mMama Nyerere MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  11. JK amependeza, ameonyesha Utii na unyenyekevu

    ReplyDelete
  12. Nakufagilia mdau wa miaka 34!!! kama sikosei ni mdau wasita kutoka juu, ni kweli nimefurahia hayo maoni yako na hasa kwa wandoa, kwani ni kweli kabisa ndoa ikiwa na migogo hamuwezi kufanana kamwe!!!!!
    Kweli mama maria Nyerere ni mfano tosha!

    Mdau canada!

    ReplyDelete
  13. Jamani wadau,
    It's even scary!, the way mama maria now looks so much like mwalimu!, mpaka nimeogopa!, isingekuwa kitenge ningefikiri niko mbinguni.

    @ anon 6:56pm
    Amen!, very true.

    GOD BLESS TANZANIA!

    ReplyDelete
  14. Nyie wadau mnaofananisha sura hebu acheni nadharia zenu za ki-Cinderella na za "they lived happily ever after"

    Maria na Julius wote ni wabantu na kaka sijakosea ni watu wa huko huko Musoma kwa hiyo kuna ukaribu mkubwa wa genes zao.

    Hebu kaoe / olewa na Mzungu au Mwarabu au Mchina huku wewe ni mbantu tuone kama mtafanana hata baada ya miaka 80 ya kuishi pamoja raha mustarehe.

    ReplyDelete
  15. Naona kama wamefanana sana. Au ni mimi tu? Wanasayansi wa DNA changamkeni hapo maana inawezekana gene mutations za watu waliokaa sana pamoja zinakwenda sambamba. Haiwezi kuwa coincidence hii - maana mama Maria na Mwalimu hawakuwa na undugu...

    ReplyDelete
  16. yaani amefanana na mwalimu

    wanasema mtu mkioana mkakaa pamoja muda mrefu na mpendane kweli mnakuja kufanana. I dearly love my husband but I real don't want to ever look like him.

    ReplyDelete
  17. wee mdau wa tar 26 feb saa 1.52 nakuunga mkono SHOST SITAKI KUFANANA NA MUME WANGU JAMANI NI MBAYA,SABABU NILIOZESHWA NIKIWA MTOTO JUST FORM 4 LEVER.KWELI NIMZEE Aaaaaaaaaaa SITAKI KUFANANA NAE KABISA NI VILE NDOA YA KIKRISTO NA TUSHA ZAA WATOTO KWELI NIFANANE NAE?.LABDA KAKA MICHUZI WEWE UKIFANANA NA MY WIFE WAKO SAFI KWANI ANAITA.

    ReplyDelete
  18. mdau wa 1:52 you made my day ndugu yangu yaani nimecheka mpaka basi yaani eti"i dearly love my husband but i real don't want to ever look like him"inamaanisha nn???mumeo mbaya nn?ndo maana hutaki kufanana naye nn???????
    hahahahahhaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  19. Yesu wangu,,,uyu mbona ni Mwl JK??
    UBARIKIWE MAMA YETU WA TAIFA,

    sasa wee annon #3 juu,,sex na ku-think about beyonce wapi na wapi na mama nyerere?

    watu wa ngono bwana,,,

    ReplyDelete
  20. Interesting. Kama hiyo theory yako ni kweli basi we may have to wait very long ili tuwaone Dr Remmy na mkewe wakifanana...

    ReplyDelete
  21. hapo swala si kufanana,maana naona hata jk mwenyewe ana mshtuko kwani kwa mimi naona huyo ni nyerere ndani ya sura ya mama maria na ujumbe umefika,alichoambiwa jk huko ndani siri yake,lakini najua atajitahidi kurekebisha kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.mungu ibariki tanzania,do nisisahau kaka michuzi jana nimeona habari inayohusu albino hapa stockholm,ni kwamba kaamua kukimbilia burundi kuepuka kifo,hilo swala sio habari ndogo tena,sasa ni aibu hata kusema umetoka tz,utaulizwa ndo nyie mnaua albino,tunaharibu history yetu ya amani kwa ajili ya tamaa ya pesa ya watu wachache,sasa tushafananishwa na majirani zetu.sio siri hili swala likiachiwa tutazidi kuchafuka ulimwengu mzima.hii ni aibu

    ReplyDelete
  22. Mama Maria anaijua Ikulu kinyumekinyume,labda JK alimuomba aje kumuonyesha sehemu ambazo hazijui humo

    ReplyDelete
  23. Wadau tumemsifia sana mama Maria lakini ukweli ni kwamba sifa anazomwagiwa zimetokana na uadilifu wake jinsi alivyo acha kumbukumbu/historia (Legacy)wakati wa utawala wa mume wake.kwa miaka yote waliyotawala hakuna kashfa ambayo anayo mama huyo zaidi ya matatizo binafsi ya kifamilia(kwa wale wanaojua.Leo hii maisha yake na ya mwalimu yanazungumza watu wana tamani mwalimu angefufuka kisha aombe kura na fikiri hata watoto ambao bado hawajazaliwa wangempigia kula ili awatete wasitolewe wakiwa bado ni mimba changa kwani wazazi wao waliopo fanya ngono hawakushirikishwa ili watoe ushauri kuwa kama hujawa tayari kunilea usinizae wala usiachilie tu mwili wako ukutawale.
    Pili mama Nyerere ana mwagiwa sifa lukuku kwani NGO yake iko kijijini Butiama/Mwitongo na hakuna mahali iliposikika kuwa imetumia pesa za umma.Leo hii fashion ya mama zetu wa kwanza ni mikiki na mashindano,kwa hiyo hata wakizeeka hatutawaona wamefanana na waume zao bali tutaona tu sura ya uroho na tamaa.Asante mama yetu mama Maria, Kwa msaada wako uliompa mzee wetu leo hii, mimi ninavuna matunda ya nchi nilisoma bure nilipata huduma ya afya nilikuwa na heshima ya pekee kuitwa Mtanzania hata London siku hizo tulikuwa hatusumbuliwi kama raia wa nchi nyingine.Zaidi ya yote hatukuana kama tunavyofanya leo hii.mmeo aliwasaidia wanyonge kuliko leo mnyonge mnyongeni.wadau mnisamehe niishie hapa naweza kutunga kitabu.

    ReplyDelete
  24. jamani mimi nina wasi wasi naona kama mwalimu kaoa dada yake mbona sura zina fanana uzeeni mmmh haya!

    ReplyDelete
  25. Jamani nataka mjue kama kwa mwanamke kufanana na mwanaume ni noma nani katiyenu nyinyi wanawake anataka kufanana na mwanaume hio ni mitezamoyenu huyu mama anazeeka na nikawasida lakini hatasikumoja hawezi kufanana na mwanaume mimi ningupenda wanawake wawe na sura zakiume wote mnazani nani mngemringia leo hii nasema ati mama nyerere kafanan na mwalimu au mnaanza kumletea uchuro mtakufa nyinyi mahabatha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...