Home
Unlabelled
kanumba afanya sherehe ya kumuaga director wa filamu toka nigeia, femi oyedegbe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera zako Kanumba kwa kupiga hatua mbili mbele! Salam zake da Wema kwa kurudi hatua kumi nyuma!
ReplyDeleteSasa wewe Supa Bokelo (picha ya chini kabisa) ndio uchezaji gani huo wa kukanyaga kanyaga wageni waalikwa?
ReplyDeleteTena hao unaowakanyaga ni kina mama watu wazima sawa na mama yako.
Sasa mbona wote walipewa maji ni kwa nini??
ReplyDeleteMibange hii jamani Mh!!!
ReplyDeleteMibange hii!!!!!!!! @ picha ya tatu!!!!
ReplyDeleteJamani watu wengine wakishalewa na kuvuta bangi zao msiwaruhusu kupanga jukwaani. Ona sasa picha ya tatu kijana huyo alivyokosa adabu na kwenda kuwaparamia akina mama wa watu. Mwe!! ADABU MBAYA SANA. Mwenye bendi hiyo ampige chini fasta fasta. Kuna siku ataenda kumparamia WAZIRI ama RAIS! Ashikishwe adabu.
ReplyDeleteWe bokole acha tabia ya kukanyaga kanyaga mama za watu utapigwa
ReplyDeleteAaah sherehe gani hii full maji hamna hata coke jamaa anajua kubana matumizi hata hao wapopo wake wamemshangaa pati bila beer na kula pia aaah sio kweli jamaaa kama huyawezi unaacha tu sio kualika watu unawapa majiii mpaka matumbo yajaea ahahaha
ReplyDeleteNakuunga mkono anon wa 6:51 AM, sijui hata aliwaandaa kisaikolijia kuwa atawarukia hivyo! Some manjonjos bwana......Wangemkwepa akaishia uso je?
ReplyDeleteHuyo sijui mnaemuita bokole hana lolote anataka hela ya kutunzwa tu, si mnakumbuka wale wacheza shoo wanaojivika makalio makuuuubwa kisha wanachezacheza kwenye matafrija, sana kwenye shoo za maharusi wakiona hakuna mtu anawearushia angakau jero, hufuata mtu mmoja mmoja akamtingishia kwa karaha, hadi utatoa tu hela kuepuka ile adha ya kudhalilika pale wakati anakutingishia, basi ndo zao hao, sasa hapo angewakanyaja hao kinamama vibaya je si angewaumiza muone aunt doti alivyolemewa na hilo limguu, inaboa bwana acheni hizo.
ReplyDeleteLeo naponda waziwazi wala sijali tena, nimevumilia nimeshidwa.
ReplyDeleteDada alievaa Red, ndio aliekuwa ameshika ile bastola, niliona picha kwa Dada Chemi, nilicheka mbavu sina. Eti nao hao ni actors na Directors, msinichekeshe.
Hakuna actor hata mmoja hapo, vichekesho tuu. Wabongo wanajua kuridhika ridhika tu, hawataki kuweka juhudi. Siku hizi wanacolaborate eti na Wanigeria kwa hio wanadhani ndio kupiga hatua, hao Wanaija wenewe wachovu, sinema zao kelele tu hata hawaeleweki, vurugu tupu!
Kibira alivokuja Bongo wakaanza maringo hata kujifunza hawakutaka, kwa minuso hawajambo, waambie waact, aibu tupu!!!!!
Waangalieni wenzenu South Africa(BTW ni waafrica pia)movie zao zinavokuwa kali, zinaeleweka kuanzia casting director, actor wako convincing na theme zimepangwa vizuri, nasema tena sijaona bado actor wa maana bongo, Ukiachia filamu za Kibira. Bora hata actors wa zamani kama kina Bishanga, Waridi etc kuliko hawa wa sasa hivi, zero kabisa!!
Kanumba unajitahidi kwa kiasi kwa kweli, lakini ushauri wangu ni kukuasa kutoiga sana filamu za kinegeria, ingawa wao ni watamaduni sana lakini filamu zao kwa sasa naona nyingi wanatoa vipande kutoka kwenye sinema za kizungu. pia wewe unaweza kufanya hivyo am sure hukuenda hollywood bure. alafu kuhusiana na swala zima la wacheza filamu unaohusiana nao wengi ni commoners, am sorry kwa kutumia lugha hii lakini huo ndio ukweli jaribu kutafuta wasomi wazuri, mabenka, wanasheria, waimbaji wenye chati kama jd. hawa watasaidia sana kuhamasisha muonekana tofauti wa sekta ya filamu Tanzania na sio kama ilivyo sasa, kwa mtizamo wangu inapendelewa zaidi na watu wamatabaka ya chini zaidi na sio watu wa tabaka la kati na matabaka ya juu. jaribuni sana kuwalenga watu wote. alafu lugha pia dunia tunayoishi leo ni ya utandawazi hivyo filamu zinawakilisha kila mahalai isipoonekana classic basi ndio pale inapotupa picha fulani taifa zima.
ReplyDeleteKingine ni script, synopsis, na content yenyewe iliyopo ndani iwe ni yenye uzito zaidi.
Hongera Kanumba unachance kubwa ya kuonekana kwa hiyo unaweza kufanyia kazi mawazo haya naomba yasikukere.
Wanaigeria sioni kama ni watu wa maana kabisa na movie zao zimejaa uchawi na maujai tu mabastola kibao. Sidhani kama Kanumba umeukata. Unapotoshwa tu na hao watu. Mie nisingejiidolize nao. Find your own identity.
ReplyDeleteHilo lijibaba linalocheza juu!!! ya hao wakina mama alina hata aibu dume zima mpaka limenichosha!!!!! na misuli yote iliyomjaa kuwasimamia hao wakina mama nini!!!! ndio wakuone mjuzi, unawaumiza wenzako.
ReplyDeletemnh hizi mbwembwe nyengine bwanaa...??
ReplyDeletecha kunivunja ugoko???
walahi mie ningemshusha!!!
kigulu nyembe!